Jamani na sisi ma-great thinkers tuwe tunafikiria..hivi kweli huyu jamaa anaetupa-updates anaweza fanya hii kazi ikulu? kwenye ulinzi wa kufa mtu? Naanza kukosa imani na updates za huyu jamaa..wewe tazama hata anavyoripoti ni kama ana-joke vile..ikulu ni ngumu kutupa updates labda sijui iweje,tuwe ma-great thinker kufikiria kwa hili.

Nobody can ever play chicken with think tanks of the nation(doctors).
Ni Piriton.Pyriton au?
Safi sana Rais JK. Ikulu ni ya Watanzania wote itumie kutatua matatizo ya raia wako. Kwisha habari; nasubiri taarifa ya habari ya saa mbili kamili kupitia TBC1 ikiwa na habari ya kwanza kabisa kwamba madaktari wamkubali kuacha mgomo bila masharti yoyote baada ya kuwa wamekutana na Rais ikulu ya Dar es Salaam. Nilikuwa nataka kushangaa, kama JK aliweza kusaidia katika utatuzi wa mgogoro wa Kibaki na Raila na pia kumaliza gogoto la Zanzibar iweje ashindwe na kagogoro haka kadogo! Miaka kumi akiwaongoza mabalozi imempa uzoefu wa kutosha wa kidiplomasia. Hapa inatumika diplomasia tu.Ni kweli wameenda kuonana na mkuu wa kaya! Habari zimetolewa na vyombo vya habari pia!
kaombe mtaala wa muhas ujifunze zaidi.drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema
umenichekesha sana na ulichoandika.hivi nyie mnaojiita think tanks mnatibiwa na nani?leo hii daktari aweza sema you are insane and society will believe him beyond doubts.daktari anajua ni jinsi gani ubongo wa huyo think tank unavyofanya kazi sasa nani hapo think tank?drs sio think tanks wa taifa jamani, wa mwili wa mwanadamu sawa kwa kiasi.
Arrogance inawaponza.
Think tanks would dare to admit that they know less than ppl think they know.
Baada ya form six wamesomea viumbe tu, tena kiumbe mmoja. Wenye bahati ya kuhusisha na mambo nje ya hosp kidogo wanaanza kujua dunia inaenda wapi. Tofauti na wengine ambao husoma masomo kuhusu mambo mengi na kupanuka mawazo mapema
wamweleze ukweli...na wahakikishe wanadocument wanayoongea maana jk anashika nafasi ya pili kwa uongo wa kwanza ni pinda....so wawe makini sana na huyu ba' mwanaasha ....wasisahau kumwambia kuwa muhimbili hakuna POP wala bandage....
kuwaondoa nkya na huyo mzee mponda ni compusory...no majadiliano ......
naamini baada ya mazungumzo hayo jk atasema mimi nilikuwa sina taarifa kumbe hali ni mbaya namna hii!!!??...hakuna hata POP?....
Nadhani yule mzee ni mkuu wa kamati ya ufundi mana kama simuelewi elewi hivi.Kama wassira akishiriki hayo mazungumzo hayatozaa matunda, yule mzee amechoka kimwili na kiakili lakini JK ndiye anamtegemea kwa ushauri.
Kila mtu anapapenda ikulu, CDM nao kiherehere chao wakaenda, na madaktari nao wamekwenda , haya na JF tujipange twende kwani hao wote wanafuata juice za ikulu
...madokta huwaudimia ata vichaa,atakuwa huyo mzima anayejitoa akili?!...naamin kati ya hilo jopo la madaktari walienda ikulu pia doc wa magojwa ya akili atukuwepo...Mkuu anawagombeza kama watoto ma doc wamekuwa wadogo kama tule tudawa wanakotupaga