Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Mkuu...ukisafishwa ukapona...Unarudi kwa doctor kufanya Nini ..KUSHUKURU...unafukiria kumuona doctor Ni bure unaingia utakavyo..
Utaenda Kama unashida nyingine
 
Kuna Musa wakuburudisha nafSI...Muda wakusafishwa ... doctor aone ndo Muda wakujiburudisha...zile Damu zinatoka nyingi...na maumivu kibao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Dooo huyo doctor sio
Wewee hujaonaa maajabu kuna watu wanafanyaa mambo katika mazingira ambayo hutegemei, sio wanawake wote wagonjwa kuna wanao shika mimba bahati mbaya mimba haina hata wiki.

Binti mbichi kbsaa.
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
 
Kun hostpitali za mjini na vijijini na kuna zenye madaktri kamili na na zisizo na madktari usilete mfano wa hospitali moja
 
Wewee hujaonaa maajabu kuna watu wanafanyaa mambo katika mazingira ambayo hutegemei, sio wanawake wote wagonjwa kuna wanao shika mimba bahati mbaya mimba haina hata wiki.

Binti mbichi kbsaa.
Kweli Kuna mambo yanastaajabisha...
Lakini mwanamke kushika mimba haina hata week .....sijaelewa
 
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
Hujasoma ukaelewa nimeongelea baadhi ya madaktari sio wote.
 
You nailed it man
 
Huna Akili.
 
Wewe badoo fatiliaaa mimba baaada hata baaada ya siku moja ipoooo ndgu.
Nikweli. ...Sasa kushika mimba na doctor Kuna husika Vipi?..au unamaanisha madoctor ndo watia mimba[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kun hostpitali za mjini na vijijini na kuna zenye madaktri kamili na na zisizo na madktari usilete mfano wa hospitali moja
Wewe Baki na unachoamini ila ni ngumu kufanyia ufuska hospitalini penye wagonjwa na wahudumu. So tuache kuchafua madaktari ukiona mtu ka do ujue kakubali na nje ya hospital Ila mule na uchungu plus kusafishwa hyo na kupinga kabisa KWA nature ya hospital zetu hizi ni ngumu.
 
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
Si wote mkuu, kwenye msafara wa màmba kenge wapo, kuna mwaka kitu 2010-13 kuna hosp moja dar kitu kama Temeke, mdada kaenda kung'oa jino tena kasindikizwa na mpenzi, lakini mwenzie aliambiwa asubili nje alazwa usingizi kabakwa na kitolewa jino, alivyotoka pale alijiona tofauti kupimwa kaingiliwa na huyo Dr alikuwa na kazi nyingine police [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Na nurse mwanaume aliye mbaka mjamzito aliyeenda kujigungua! Tena mwaka jana Katavi huko mama anauchungu kaenda na mama yake, mkunga kaingia naye mazima mama anashituka mkunga anamaliza, alikimbia na kumwacha bila hata kumsaidia kujifungua[emoji23][emoji23] nacheka kama vizuri.
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
Umemaliza haswaaaaaah.
 
Hzo ni rare kesi Sana, Ila KWA nature ya hospital mtu kwenda kujifungua labour au kusafishwa ubakwe ngumu Sana maana kusafishwa ni procedures lazima udungwe mashindano, plus ma nurse kila corner ngumu jamani. Kwanza ni marufuku dr wakiume kuhudumia mwanamke ka kusafisha bila nurse wa kike na huo ndo muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…