MADAKTARI,WALIMU....ole wenu MSIGOME...

Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.

Ili mbegu iote na izae moja mia, nyingine sitini na nyingine arobaini ni sharti kwanza ife. Hayo mateso ndio kufa kwenyewe! Haki haiombwi inadaiwa.
 
kwa mchezo huu ccm ikishnda 2015 inabidi iundwe tume tujue wameshindaje shindaje mana kila mtu haipendi
R.I.P chichiem
 
watu wenye mtindio wa ubongo pekee ndio wana uwezo wa kuandika post/sred kama hii ya kinyama kabisa.

Mh kweli kuliko hata unyama unaofanywa na serikali wa kuiuza nchi mchana kweupe,kisa malengo ya watawala yatimie,Kweli kazi ya kuikomboa Tanzania bado kubwa
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Kiukweli,hatua zilizo chukuliwa na serikali kutatua madai ya madaktari ni kubwa.Ningewashauri madaktari kurudi mezani kujadiliana na serikali juu ya madai matano yaliyo bakia.Mwafaka mwisho wa siku utafikiwa kwa majadiliano.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Hebu gomeni sababu vigezo mnavyo ukizingatia serikali yenyewe ni dhaifu hebu ichapeni
makofi iamke usingizini.
 
Madaktari sawa, lakini walimu! Mh!!? Wataweza kweli, mbona ni dhaifu na legelege kama mkulu tu.
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Naunga mkono hoja muda wa maneno umekwisha sasa ni muda wa MATENDO kama nitakufa wakati huu kwa ugonjwa naimani nitakuwa nimekufa wakat muafaka
 
VUTA-NKUVUTE, umenichekesha sana, bibi yako mgonjwa, mama pressure, baba figo-wewe chapombe ajali nnje nnje-daktari agome, mtoto wako lishe duni- utapone kweliiiiiiiiiiiiiiii??
 
VUTA-NKUVUTE, umenichekesha sana, bibi yako mgonjwa, mama pressure, baba figo-wewe chapombe ajali nnje nnje-daktari agome, mtoto wako lishe duni- utapone kweliiiiiiiiiiiiiiii??
Hata kama Ndugu yangu atafariki kwa kukosa huduma sijali.Madaktari na walimu wapewe stahili zao.Muda wao ndio huu.Wasiupoteze.Wasipogoma....watakiona cha mtema kuni
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Sasa kubadilishiwa kwa waziri wa afya imesadia nini kama mgomo bado utakuwepo?hata kama ni mazungumzo ya madaktari na waziri wa afya mbona itakuwa ni mapema mno?au hakuna mazungumzo?just curious.............
 
mimi kama rais wa tano,napinga kabisa mgomo wa madaktari kwa sababu babu yangu na bibi yangu na wazazi wangu ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda India wala hindu mandal wala regency hospital.
Wewe unaowajali ni jamaa zako tu,yaani,unaangalia tumbo lako tu.Nao madaktari wana jamaa zao wanao wategemea.
Mgomo ni muhimu
 
Hivi babu wa Loliondo bado tu hajaoteshwa dawa nyingine? ndo msimu wa kupiga hela huu tena namshauri kipindi hiki aoteshwe dawa ya 5000/=
 
Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.

Mbona serikali imegoma kutimiza makubaliano na madaktari huwasemi, aw serikali sio watu? Au Serikali ikigoma ina haki? Kwani madaktari hawaumizwi na kugoma kwa serikali? Lazima kuwa wakweli kama kweli tunataka nchi iendelee. Wabunge na TRA ndio wana haki zaidi ya kutoumizwa na serikali au? Hujiulizi kwa nini walimu na madaktari wanakimbilia ubunge siku hizi? Hapendwi mtu kaka. Waambie kina Pinda wasiwagomee walimu na madaktari tu, wajaribu pia kuwagomea TRA na waJWTZ kama wataendelea kuishi.
 
sasa ndugu yangu VUTA-NKUVUTE mbona kama unaugombeza tena? Hebu weye tuambie manake tunahitaji pamoja na mawazo ya watu wengine kama nyie yatakayo tuongezea nguvu katika hoja zetu so tunakaribismaoni has ya utaalam wa kisheria kabisa.

Simamieni jambo mnalolitaka na kuamini ni haki yenu halali kwa nguvu zenu zote, mkiingiza huruma na maswala ya haki za binadamu mtakwama daima kwani kila mara mkidai jambo na kutishia kugoma serikali inawategea ili wananchi wateseke na wawageuzie kibao mlaumiwe ninyi kwamba hamna huruma na wananchi watanzania wenzenu!! Nyani ukimuangalia usoni hutakaa umuue katu!!; "Sometimes desperate situations demand desperate measures!!"
It beats my imagination that this same government splashed 57Bn shillings over the 50 years independence celebrations!! imagine how much that kind of money would have covered to settle teachers long overdue salary claims, EAC retirees,Doctors demands, Shule za kata that have no teachers, labaratories and teachers housing!!

Stay firm, focused, consistent and persistent, msiyumbe katika madai yenu wananchi watawaelewa. best wishes.
 
MTK umesema vizuri sana na pia nafikiri ifike mahali sasa maamuzi magumu yatatuliwe kwa njia ngumu. tu
 
Last edited by a moderator:
Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...

Ndugu yangu busara ni muhimu zaidi kuliko hizo sheria zenu. Hivi unadhani madakatari wanaweza kuamriwa na mahakama wakarudi kazini halafu wafanye kazi kwa makini?

No way serikali iwalipe kama wanavyodai, pesa zipo kama wao wanandhani hawana pesa watoke madarakani waingie wenye uwezo, sasa imetosha, serikali legelege ni lazima itoke.
 
Kama kugoma kwa madaktari kunaogopesha kisa kwa kuwa watu wanaziogopa maiti basi ni dhahiri wasigome, lakini hayo madai yao ya mazingira mabovu ya kufanyia kazi yatasababisha wao ndo wafe kabla ya wakati wao na automatically vifo vitaongezeka as hatutakuwa na watumishi katika mahospitali yetu na vituo vya afya na mkumbuke india wanaenda wabunge na mawaziri na siyo kila mtanzania anapelekwa india kwa gharama ya serikali. Sasa baiiii!! Walimu wagome then ujinga na umbumbumbu uongezeke na mwisho wa siku tusiwapate hao wataalamu ktk kada zingine. Moto wa umeme hauzimwi kwa kushughurikia unapowaka mwingi bali kwa kuzima mainswitch kwanza. Serikali imezidi dharau, haiwezekani bwanashamba mwenye certificate amzidi mshahara mwalimu mwenye diploma halafu mnajitangazia elimu ndo kipaumbeleeee!!!?
 
Serikali imekuwa ikiahidi bila kutekeleza madai ya madaktari na walimu. Serikali inayapuuza makundi haya na haitaki kuzungumza nao kama taratibu zilivyo mpaka migomo itokee ndipo inazinduka. Imekuwa ikitafuta masuluhisho ya zima moto na makundi haya, badala ya yale ya kudumu! Mgomo huu ukitokea, serikali itazibeba tu lawama hizi. Wanafanya usanii kila sehemu. Kila kitu wanafanya kisiasa.
 
Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.

we unataka nn toka kwa serikali legelege na rais dhaifu?kama wanaona mgomo utaleta madhara basi serikal walipe madai ya walimu na madaktari sio kubwabwaja tu kuwa ni upepo tu utapita
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

sidhani kama migomo inasaidia tz......mligoma . ..wanyonge wakaathirika....mkachezwa shere....mkarudi kaZini....... hivi hakuna njia nyingine zaidi migomo?........mie naona kama mnarudia mpango ulioshindwa kwa mbinu zilezile
 
Back
Top Bottom