Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,170
- 175
kumbe haya nayo mambo ya kiCCM bora wagesubiri 2015! ! labda watasikilizwakwa mchezo huu ccm ikishnda 2015 inabidi iundwe tume tujue wameshindaje shindaje mana kila mtu haipendi
R.I.P chichiem
kumbe haya nayo mambo ya kiCCM bora wagesubiri 2015! ! labda watasikilizwakwa mchezo huu ccm ikishnda 2015 inabidi iundwe tume tujue wameshindaje shindaje mana kila mtu haipendi
R.I.P chichiem
Watanzania wananikumbusha enzi za ludism pale ludists walivyokua wakidestroy machines wakiamini machines ndio adui wao wakati adui wao walikua ni capitalist ambao ndio waajili wao.WATANZANIA HAPA ADUI YETU NI SERIKALI NA SIO MADAKTARI JAMANI,DAKTARI HANA KOSA NA SISI HATAUNA MKATABA NA DAKTARI BALI NA SERIKALI.LET'S STOP CHASING THE WRONG ENEMY AS THE LUDIST DID!.