hawa ndo wawekezaji wazoefu wa uendeshaji wa reli waliokuja kutukopa wabongo mtaji wa kuendesha TRL....sijui tulikuwa tunasinzia, wangefanya maendeleo gani sasa hapo? treni za kwao ni za miaka ya arobaini na saba 47 bora hata za kwetu. nchi yetu bwana, wakati mwigine sijui tunafanya nini?