Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,498
- 18,264
Hizi akili zangu za kuunga unga nimeshindwa kukuelewa samahani lakinipoleni siwezi kuandikaga habari ndefu lazima kuna vi typ error nakasoro baadhi ila jitahidini mtaelewa lengo langu ni hao madaktari wasitupatie huduma kwa kutuangalia kwa macho bila kuchukuavipimo. vinginevo watatuua.