Madaktari na Posho za Wabunge

talikcharles

Member
Jan 4, 2012
5
0
Hivi kweli unaweza kununua tairi mpya za gari ikiwa gari lenyewe
halina mafuta
viongozi wakuu serikali ya tanzania mnaakili timamu au mnakurupuka tu hivi kwanini hizo posho msiziamishie kwenye mishahara ya madaktari wetu kwa kuwatengea bajeti iliyonona wafanye kazi ktk mazingira sahih kwa huduma sahih ? Au kwa sababu mkiugua nyie hutibiwa nje ila kumbukeni hizo ni pesa zetu tukiwachoka tutawachosha maana nibora mniue kwa risasi kuliko kufa kwa ugonjwa wenye kutbka karne hii ya 21.Jamani hivi kp bora wagome madaktari au wagome wauza sura mjengoni jamani angelikuwepo mwasisi tungepona sisi kwa kheri hayati TANZANIA
 
pathetic, selfishness, disgusting
A country with no priorities/agenda is a disaster
:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Madaktari wasilaumiwe kwa lolote lile waacheni wagome kwani nao wanasababu za msingi.

Haya ndiyo matokeo ya upupu wa wabunge wetu wao walipo jipandishia posho walipo hojiwa na kutaka waachane na posho hizo walidai kuwa sababu za kujipandishia posho ni gharama za maisha kupanda.

Je kwanin watu wang'aka pindi madokta wanapogoma??

Wameanza madokta naamin nawangine watafuata.
Serikali inapata nguvu wapi ya kuwakemea madokta na huku kwa wabunge hawakuthubutu.??

Madokta gomen mpaka kieleweke hata kama nduguzetu waliopo hospitalin watakufa kwa kukosa huduma potelea mbali hata kama ningekuwa ni mimi mgonjwa potelea mbali nipotayari kufa.
Hata kama kuna watu watakufa kwa kukosa huduma potelea mbali kwani hatuta kufa watanzania wote ni bora wachache tufe kwa manufaa ya wengine .

Kwa wale wakristo huamin kuwa YESU alikufa kwa ajiri ya ukombozi wa wanadam.

 
Madaktari rudini kazini posho zetu zipande. Tunajua zikipanda kabla ya nyiye kurudi kazini mtapiga sana makelele. Bunge linaanza leo tar 30 January 2012, mnataka watulipeje Wabunge?

Rudini haraka kazini. Mchana tunatangaza kuwa posho zetu zimepanda rasmi na tayari hela za kutulipa kwa bajeti hiyo iliyopanda zimeshaandaliwa. Mnatukera na mgomo wenu na mnataka kuiweka serikali yetu mahali pabaya sana. Mnatuharibia. Rudini kazini haraka!
 
Acha uchochezi ubunge umeupata wapi au ubunge wa barabarani.sio vema kuleta utani kwenye matatizo kama haya
 
sijui ni mlaumu nani kwa hili!ngoja nifikiri kidogo,ila wagonjwa wanaumia,na serikali nayo sio sikivu.sifungamani na upande wowote.
 
ha ha ha ha ha....anywhere 'message sent'. Kuna namna nyingi sana ya kufikisha ujumbe......
 
Dah maisha ya cinema matamu,movie inaitwa 3 i.d.i.o.t.s Pinda,Mponda na mama katibu mkuu wizara ya afya
 
Acha uchochezi ubunge umeupata wapi au ubunge wa barabarani.sio vema kuleta utani kwenye matatizo kama haya

Ukiona posho hazijapanda leo basi madaktari bado mmegoma. Leo bunge limeanza na hela lazima zilipwe, zitalipwaje, rate mpya ama ya zamani? Ikilipwa mpya tu mtajua na hamtarudi tena kutibu. Rudini haraka acheni kugoma tuendelee na safari. Jana itakuwa kama leo na kesho itakuwa kama jana na leo. Maisha yanaendelea.
 
selikali siyo sikivu kwa waloichagua, selikali ni vinara wa matumizi yasiyo na tija, kwao kukimbiza mwenge nchi nzima priority #1 kuliko afya
 
Ukiona posho hazijapanda leo basi madaktari bado mmegoma. Leo bunge limeanza na hela lazima zilipwe, zitalipwaje, rate mpya ama ya zamani? Ikilipwa mpya tu mtajua na hamtarudi tena kutibu. Rudini haraka acheni kugoma tuendelee na safari. Jana itakuwa kama leo na kesho itakuwa kama jana na leo. Maisha yanaendelea.

Nimesahau kidogo!hivi bunge linaanza leo au kesho??
 
Madaktari rudini kazini. Wenye haki ya kuongezwa posho katikati ya mwaka wa kibajetii ni Wabunge tu, maana wao wanasaidia matatizo ya majibo yao hivyo huwa wanaishiwa. Nyie posho zenu hamwasaidii wagonjwa. Wagonjwa ndio wanaumia katika sakata hili. Wao kwa sehemu kubwa ndio waliowasomesha. Wabunge wao hawakwenda shule hivyo hawakusomeshwa na wananchi.
 
Nyongeza za posho za wabunge zimefutwa hadi hapo serikali inatakapojiridhisha kwa nini waongezwe wao na sio sekta nyingine lakini pia kanuni inaagiza kwamba ni Rais anayetakiwa kuidhinisha posho hizo na nyongeza zake Waziri Mkuu alikosea kuidhinisha posho.
 
Hii nimeipenda. Tukubaliane rasmi hapa Jf kuwa tuna wabunge wa aina tatu : Wabunge wa BIKINI wabunge wa KUCHAKACHUA kura na wabunge wa KUCHAGULIWA.

Bado wote ni waheshimiwa wabunge na posho lazima zipande. Maisha magumu sana
 
Madaktari rudini kazini posho zetu zipande. Tunajua zikipanda kabla ya nyiye kurudi kazini mtapiga sana makelele. Bunge linaanza leo tar 30 January 2012, mnataka watulipeje Wabunge?

Rudini haraka kazini. Mchana tunatangaza kuwa posho zetu zimepanda rasmi na tayari hela za kutulipa kwa bajeti hiyo iliyopanda zimeshaandaliwa. Mnatukera na mgomo wenu na mnataka kuiweka serikali yetu mahali pabaya sana. Mnatuharibia. Rudini kazini haraka!

Nakuunga mkono ....warudi kazini
 
Nyongeza za posho za wabunge zimefutwa hadi hapo serikali inatakapojiridhisha kwa nini waongezwe wao na sio sekta nyingine lakini pia kanuni inaagiza kwamba ni Rais anayetakiwa kuidhinisha posho hizo na nyongeza zake Waziri Mkuu alikosea kuidhinisha posho.

Raia mwema unaelewa maana ya Mamlaka? Spika alisema posho zomekwisha kuongezwa. PM alisema kaachiwa ishu hii aimalize, si ina maana kapewa mamlaka hayo? Unataka kutuaminisha kuwa alikurupuka kutoa maelezo hayo? Hapana.

Mtake msitake posho lazima zipande. Fanyeni hima ma Dr mrudi kazini. Msituharibie tafadhali.
 
Back
Top Bottom