Mficha uc.hi hazai, sasa wewe kwenye check-up ulitegemea nini?? Hujui mficha maradhi..kifo humuumbua??
Waachie bana wafaidi kwa macho, ila wakijaribu kukubaka, chukua hatua.
Lakini ukifuatilia vizuri daktari mwanaume akiamuru mwanamke avue nguo kwa ajili ya uchunguzi zaidi basi ni lazima muuguzi wa kike awepo,ila kama hatokuwepo basi huyo daktari ana lake jambo...Hii ni kutokana na kanuni za maadili katika afya.Je,wakati rafiki yako anavua nguo alikuwa na daktari pekee yake au na muuguzi? Hilo ndilo la kujiuliza
Anza sasa ni miaka 7 tu, then uanze kufaidi
Juzi kuna rafiki yangu mmoja wa kike alinipa stori kuwa alikwenda kwa daktari kufanyiwa check up ya kawaida tu akakutana na habari za vua nguo, lala hapo, tanua miguu na kadhalika.....................
Nikapata muda wa kutafakari kidogo namna ambavyo madaktari wanatumia taaluma yao kuchungulia wanawake.............. Mbona si huwa hatukutani na habari hizo? Eti jamani!