Hawea jamaa ni wachafu na watata sana kwani wanajiona ni bora kuliko watu wa fani ingine, ndio maana wanajifanya hata muda wa kulima ka-bustani au usafi wa mazingira hawafanyi ila kwa kilaji huwakosi katika kaunta, wakihadithia wagonjwa wao na siasa aa mm sina hamu nao angalieni hata wawakilishi ambao ni Wabunge kaliba zao
Mh!wewe hiyo sentensi ya mwisho umezuga ila tumekuelewa!Harafu wanaongoza kwa kutoa siri za wagonjwa bar . Wapo kaunta Utawasikia usimuone vile yule demu usimuone vile mzuri alikuja hospital ana ukurutu kwenye mapaja. Mara utawasikia KIBONGE ana ngoma nimempa leo ARV
Madaktari wanahadithia habari za wagonjwa wao?
Utawaona wanapita na makoti yao meupeeee. Hata aibu hawaoni mazingira wanayoishi. Wanajiona bora kuliko hata wazazi wao
Harafu wanaongoza kwa kutoa siri za wagonjwa bar . Wapo kaunta Utawasikia usimuone vile yule demu usimuone vile mzuri alikuja hospital ana ukurutu kwenye mapaja. Mara utawasikia KIBONGE ana ngoma nimempa leo ARV
Duh nimecheka sana kweli ma dokta wa sasa vilaza. Sasa dokta SLAA ameingiaje hapo kwenye uchafu wenu? Kuna mwingine ndio hana upeo kabisa bado ana idea za kizamani anadhani watu wote wenye ni lazima wawe madaktari. Lets mimi nilienda kusomea mambo ya acounts au tax. Sasa hivi nafanyakazi BOT au nipo supervisor MIZANI KIBAHA. huo mshiko wangu hunipati hata robo utaishia kuniomba bia tu bar. Na siku nikuguliwa nikakupigia simu utakuja unakimbia kama kuku wa kienyeji kuja kunitibu upate hela ya kula
Jamani msikurupuke. Hiizo flats ni za NHC. Zimepangishwa kwa Muhimbili National Hospital ambayo nayo imepangisha madaktari wanaosomea degree ya pili ya udaktari bingwa. Miaka nenda rudi, wamiliki (NHC), MNH, pamoja na wahusika wa maji taka (DAWASCO) wameshindwa kutatua shida ya mfumo wa maji safi na taka. Sasa nyie mnataka hao madaktari wazibue na kujenga mfumo wa taka kwa mikono yao? Kumbuka, wanaoishi kwenye hizo flats hupangishwa kwa muda usiozidi miaka mitatu tu na kupangishwa watu wengine tena.
mhhhh! Hapa kuna tabu naona!
mleta mada ana lake. Sidhani kama ishu ni 'uchafu' peke yake, utakuwa una agenda yako nyingine. Mara mgomo, mara siri za wagonjwa, mara walevi, mara kubadilisha wanawake. Kwa nini ndugu una chuki kubwa na madaktari kiasi hichi.
Ujumbe wako ni mzuro ya kwamba nyumba za muhimbili ambazo by the way ni za NHC ni chafu. Na mdau hapo amekujibu si DAWASCO wala MNH wala NHC walio na utayari wa kurekebisha hilo tatizo japo wanapewa taarifa mara kwa mara. Tenants wa hizo nyumba ni 'wanfunzi' ambao hawana permanent residence pale:
otherwise thread yako ina-aminisha watu kwamba madaktari ni wachafu na wana sifa zingine zisizofaa.....
Kweli una hamu ya kuwa daktari naona baada ya kushindwa sasa unakandia tuu, pole sana
Man umemaliza kila kitu! na mimi kuongezea tu ni kwamba sisi ni wavivu sana na sijui tatizo ni lakibailogia (genetic) au sijui tumelikuta hapa hapa Duniani, na siku zote huwa tunapenda kulaumu mtu mwingine bila ya kujiangalia sisi kwanza , kwa maana katika hali ya kawaida mimi nilitegemea kwamba hawa jamaa (wanaoitwa madaktari bingwa) wanafundishwa mambo ya Afya hivyo mazingira yao kuwa machafu ina contradict kila kitu kuhusu hii fani ya Udaktari, kwa hali ya kawaida na kwa mtu ambaye kweli ameiva kwenye fani yake nilitegemea awe wa kwanza kuandanama na kushinikizika hao Dawasco basi warekebishe au wenyewe wajitolee kusafisha hata mara moja tu mwezi basi!Wakati mwingine ni bora mkae kimya kuliko kueteta vitu visivyo na msingi. Kuota majani mpaka mlangoni waje wafyeke NHC? Maji kumwagika toka kwenye simtank waje wazuie DAWASCO?
I think our biggest problem as a nation is the way we think...