Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
NGOJA NIWAONE WATAALAMU WA NIH, MAANA HUYU NI MWANASIASA UCHWARA HANA LOLOTE, USIMWAMINI MTU TOKA CCMMkome kutupa dawa tano au sita sita mtatuua nyie,msikilizeni naibu wenuView attachment 873620
Napatikana mbonaNakutafuta mrembo hupatikani
Uwahi kujisajiliDah ... Chuo kinakaribia kufungua
Second year : mastersUwahi kujisajili
Upasuaji sio mchezo nduguUwahi kujisajili
Sawaa sana wengine fani zetu udaki[emoji23]Upasuaji sio mchezo ndugu
Usione watu tunakuwa offline tunapenda ...
Hadi baby tunamweka pemben
Uzur she is of the same fact anaelewa
Udaku ...Sawaa sana wengine fani zetu udaki[emoji23]
sky yuko vizuri!Nasubiria majibu
Hapana Ila anaangalia interactions kama hazina madhara unatibiwa. Mara nyingi wagonjwa wa HIV wakiwa na TB huanza kutibiwa TB kwanza kuzuia reactionSky Eclat hivi ukienda kwa dakitari akakuta una malaria, UTI (bacterial infecton), unaumwa migrane all at the same time, daktari anafanyaje? anakupa dawa moja tu?
Good, lakini naibu amesema without exception kuwa hakuna kumpa mtu dawa zaidi ya moja in all circumstances, msikilize, hakuweka caution kama wewe. Nakubaliana na wewe... nadhani wanaita contraindication/interaction????? (sina uhakika)Hapana Ila anaangalia interactions kama hazina madhara unatibiwa. Mara nyingi wagonjwa wa HIV wakiwa na TB huanza mutinies TB kwanza kuzuia interaction.
Ngoja tusuburi wengine watasema nini. Labda ndiyo alivyifundishwa chuoniGood, lakini naibu amesema without exception kuwa hakuna kumpa mtu dawa zaidi ya moja in all circumstances, msikilize, hakuweka caution kama wewe. Nakubaliana na wewe... nadhani wanaita contraindication/interaction????? (sina uhakika)
Nataka nikuoe, au tayari umeolewa na mtoto unae ? πππMkome kutupa dawa tano au sita sita mtatuua nyie,msikilizeni naibu wenuView attachment 873620
TayariNataka nikuoe, au tayari umeolewa na mtoto unae ? [emoji16][emoji16][emoji16]