Madaktari kuletwa toka Iran: Msimamo wa CHADEMA

CHADEMA tunapinga madaktari kutoka nchi yeyote ya kiislamu, tuendelee na mgomo tu.

Ur not seriouc mkuu,inaoneka hata akili zako ni ndogo hivyohivyo na upeo wako wa kufikiri ni mdogo,acha kuendekeza mambo hayo mkuu!
 
Ujinga ni kitu kibaya ndio maana mtu makini akiangalia hako ka paragraph ata jua tu ni mtoto ndio ameandika hayo.

Sina njia ya kukushauri zaidi ya kukuomba ubadili chorus ya wimbo wako.
 
Natamai kesho CUF waite press conference watoe misimamo juu ya haya mambo

CHADEMA washashindwa kazi

nahisi we ndio yule sheikh mlio sema amekoswa na risasi.

Uamsho bwana,sasa mnapanga njama ya kuingiza tanganyika kwenye machafuko mchome makanisa?
 
iran hawawezi kuleta tu madaktari bila na wao kutaka kitu in return, je serikali itawa offer nini?
 
CHADEMA tunapinga madaktari kutoka nchi yeyote ya kiislamu, tuendelee na mgomo tu.[/QUOT

It's a pity kuendelea kuwagawa watanzania based on religion. Na nina uhakika anayeongelea mambo ya dini na ukabila kila wakati hajaenda shule na kama amekwenda basi IQ yake ni ndogo sana
 
Hujasikia wanatumia bendera za Tanzania katika meli zao?? What a shame Taifa kujidhalilisha kwa kudanganya dunia meli za mafuta za Iran ni za Tanzania
 
SASA NAAMINI: CCM=UDINI, NA UDINI = CCM. Kwa nini? Kila mchangiaji wa mada katika dau hili anayetetea CCM ni lazima aweke kikolezo cha udini! UJINGA MTUPU! Imani yangu inakuhusu nini wewe jirani yangu katika utaifa na jamii yetu! Mbona tumeishi vizuri tu pamoja watu wa dini mbali mbali tukajinyima tukapigana mpaka tumeupata utaifa wetu uliokuwa ndani ya ukoloni, huku Bara chini ya Waingereza na kule Kisiwani chini ya Sultan!

Angalia udini unavyoleta madhara! Kule Nairobi leo wamepiga mabomu! NINYI CCM- wavueni magamba wenye kuleta udini katika chama!

kaka UTAKUWA UNAMATATIZO, ALIOANZISHA COMENT YA UDINI SI CCM BALI NI CHADEMA, amesema chadema HAITAK MADOKTA WAISLAM..tuache udini, si kila mwanachadema ni mkristo.
 
Iran italeta msaada au? Na wao mbona taabani sasa? Au ndio wanatafu ajira baada ya kulegezwa na vikwazo? Iran italeta madaktari watangaza dini manake kwa dini wairan ni wajinga bado
 
nchi iko kwenye kipindi kigumu

badala ya chama pinzani kuja na njia na misimamo juu ya haya mambo wao wamekaa kimyaaa


Acha uvivu wa kufikiri. Unatakiwa uilaumu serikali yako inayoshindwa kufanya maamuzi muhimu kwa masuala ya msingi.
Kazi ya CDM ni kuionyesha serikali mapungufu yao na kutoa ushauri. Huu ushauri sio lazima ufanyiwe kazi na wahusika.
 
ishu kama hiii tegemea mzee mtei kukurupuka kama alivyokurupuka kuhusu tume ya katiba.. maana ana allergy ma majina ya kiislam na waislam
 
Inamaana mwafaka na hawa wakwetu umeshindikana? Au serikali inajidai kuleta ubabe wa kipu.uzi kujidai inaleta madaktari kumbe nyuma ya pazia wanakaribisha majangili? Vip kuhusu mawasiliano kati ya mgonjwa na daktari watatumia lugha gani ili waelewane?

Umeambiwa hivi 'kuna haja gani ya kugombana na mwajiri asiye na uwezo wa kukulipa? Katafute kazi mahala pengine.
 
Back
Top Bottom