Madaktari kugoma nchi nzima!

Umenishangaza sana kwa mawazo yako haya. Unataka kusema Madaktari hawana haki ya kulipwa stahili zao eti kwa kuwa wanatakiwa kuhudumia wananchi?
Jaribu utumia google uone madaktri wa nchi zinazoeneldea wanatuima style gani kugoma bila kuathiri ethics za udaktari awananchi Walimu hawali kiapo lakini madari nadhani wana kiapo cha taaluma yao..... Kama nimekosea nisahihishe.

Madaktari ugoma gma wa style hiyo ni sawa na marubani wa shirika wapaishe ndege then wakiwa angani watangaze mgomo a watishie wasisiizwa watafanya crash landing. Wanaweza kuwa na sabbau zuri lakini KIMAADILI ya taaluma yao watu 10 sababu tu ya mgomo wa madakari basi ujue huna "dokta" . hata angelipwa mil 50 kwa mwezi.

Unaweza kufanya kazi ukiwa na njaa? Madaktari wana familia zinazowategemea na kwa bahati mbaya wanafanya kazi kubwa sana tena kwa mazingira magumu. Tafadhali sana, usidharau taaluma ya watu.

Wapi nimesema madari wafanye kazi waiwa na njaa. Na una maana ukisema "njaa". Hivi una data n uthbitisho katika taalum au wanachi ambao kwa mshahara na mafa yao hawafikishi hata wiki mbili madakatri wamo.? Tafadhli acha siasa .

Sidharau taaluma ya watu wowote lakini madaktari wanatakiwa kutambua Ethics za udaktari dakatari sio sawa na za mwalimu

Wanasiasa hawana la maana wanalofanya lakini hata kabla ya kuidhinishwa walijiongezea posho kufikia 200K kwa siku, we unaona ni sawa.

Mkuu nadhani hujanisoma Makosa ya wanasiasa hayawezi kuhaasha na madaktari nao wafanye makosa. Sasa wewe uta sawa maari wanagome kam walivyofaya last time kwa kukodi matarumbeta.

Again nashauri jaribu kugogle uone waliotutangulia madaktari wao wakitaka kuboycot nini kinafanyika.
 
Tatizo letu tunaongea sana, matendo kidogo. Kuna migomo mingi ya wafanyakazi ambayo ilipaswa kufanyika kutokana na dhuluma dhidi yao lakini haijafanyika. Na hata ikitangazwa either haifanyiki au inakuwa na very small impact. Bila kupigwa na kitu kizito HILI LISERIKALI HALISIKIII....
 
Mtazamaji...

huwezi kutegemea google kufanya maamuzi

we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine

upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....
 
Mtazamaji...

huwezi kutegemea google kufanya maamuzi

we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine


upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....

Umesema yote Mkuu,eti wa google waone wenzao wanavyogoma? Kwa nini serikali isigoogle ione jinsi wanavyolipwa stahiki zao pia?
 
Mtazamaji...

huwezi kutegemea google kufanya maamuzi

we have different context na pia on the same note, jaribu basi na wewe kugugo uone madaktari wanavyokua treated nchi nyingine

upuuzi sana kutumia gugo kufanya maamuzi....
Denovo

Angalia usije ukauta hata comment yangu, yako ya yule na wale zilizojaa jf nazo ukaziita ni upuuzi. Hii dunia ya sasa imekuwa kama kijiji sababau ya internet sasa kama unaona ni upuuzi kutafuta information mtandaoni nina wasi wasi. Utakuja kujua ukweli wa 2011 mwaka 2015 .too late.

Kufanya maamuzi unahitaji kuwa taaarfa ya uhakika kwa muda muafaka. Ukiona serikali innga mkenge kushindwa kutambua Rchmond ni kampuni ya kwenye brifcase ni mawazo kama yako. labda wangegoogle tu wangejua. Wao wanatagemea document wanazoletewa na tapeli....... . So note that unaweza kutumia internet na nyenzo kama Google kutafata taarifa amabazo zinaweza kusaidia kufanya maamuzi sahihi.

Issue ni whatver geographical lacationan factrs ethics za taaluma udaktari ni zile zile iwe ni Norway au Kigoma. Yes kuna problem nakubali lakini madakari kugoma goma inonyesha watu wengine wamevamia fani. Kuna choice watu wanafanya sababu ya maksi zao za ufaulu. Ukiamua kuingia kwenye fani ya udaktari wanatakiwa wajue respondbilities na limitation za taaluma hiyo.


Ninachosema hata madakatriri wa nchi nchi zilizoenelea wana grievances lakini zipo namna za kuboycot. Ndio wajifunze wenzao waavyobotct . Sio wanagoma na Kukodi matarumbeta watu wanakufa kwa mgomo wao. Hiyo ni unethical no mater madaia yao yawe halali vipi.

Dereva wa daladalala waweza kugoma kwenda kazini, Mwalimu anaweza kugoma kufundisha hao wote hkuna madhara ya uhai yaaweza utokea sababu ya mgomo wao. Lakini kitendo cha daktari ambye hajatumia hata option a, wala hajaribu optio b kukimbili kugoma ndio Upuuzi.

Taaizo watu wanachanganya haya mambo na siasa za watu hapa tutalaumu CCM . Yes CCM ni sehemu ya tatizo lakini na haawa madaaktari wanaogoma ovyo ovyo ni tatizo tena hatari.

Mimi nachona hapa Tanzania kilakitu ni siasa tu . Hawa madaktari zaidi ya mambo yao na serikali tunatakiwa tusikie wakiongelea mambo ya mgonjwa wa mguu kufanyiwa operationn ya kichwa na wa kichwa kufanyiwa opertion ya mguu. Tunataiwa tusikie waiongeea magonjwa kama Ukimwi na Kikombe cha babu......

NB
  • Madaktati wanataiwa kuwa a uwezo wa kujua njia gani watumie kuwaslisha kero zo bila kuwahduru wananchi.....
  • Madaktari wanakula kiapo tofauti na watu kama mimi fundi mchundo. Unakijua kiapo wanachokula?
 
Denovo

Angalia usije ukauta hata comment yangu, yako ya yule na wale zilizojaa jf nazo ukaziita ni upuuzi. Hii dunia ya sasa imekuwa kama kijiji sababau ya internet sasa kama unaona ni upuuzi kutafuta information mtandaoni nina wasi wasi. Utakuja kujua ukweli wa 2011 mwaka 2015 .too late.

Kufanya maamuzi unahitaji kuwa taaarfa ya uhakika kwa muda muafaka. Ukiona serikali innga mkenge kushindwa kutambua Rchmond ni kampun ya kwenye brifcase ni mawazo kama yako. labda wangegoogle tu wangejua. Wao wanatagema document wanazoletewa na tapeli....... . So note that unaweza kutumia internet na nyenzo kama Google kutafata taarifa amabazo zinaweza kusaidia kufanya maamuzi sahihi.

Issue ni whatver geographical lacationan factrs ethics za taaluma udatari ni zile zile iwe ni Norway au Kigoma. Yes kuna problem naubali lakini madakari kugoma ga inonyesha watu wengine wamevamia fani. Kua chice watu wanafanya sababu ya masi ao za ufaulu. Ukiamua kuingu kwenye fani ya udaktari wanatakiwa wajue respondbilitiesna burnen na limitation za taaluma hiyo.


Ninachosema hata madakatriri wa nchi nchi ilizoenelea wana grievaces lakini zipo namna za kuboycot. Ndiowajifunz weno waavyobotct . Sio wanagoma na Kukodi matarumbeta beta watu wanakuf akwa mgomo wao. Hiyo niunethical no materht maa yao yawe halali vipi.

Dereva wa daladalala waweza kugoma kwenda kazini, Mwalimu anaweza kugoma kufundisha hao wtehunmdhara ya uhi yaaweza utokea sababu ya mgomo wao. Lakini kitendo cha daktari ambye hajatumia hata option a, wala hajaribu optio b uimbili kugoma ndio Upuuzi.

Taaizo watu wanachanganya haya mambo na siasa za watu hapa tutalaumu CCM . Yes CCM ni sehemu y tatizo lakini na haawa madaaktari wanaogoma ovyo ovyo ni tatizo tena hatari.

Mimi nachona hapa Tanzania kilakitu ni siasa tu . Hawa madaktari zaidi ya mambo yao na serikali tunatakiwa tusikie wakiongelea mambo ya mgonjwa wa mguu kufanyiwa operationny a kichwa na wa kichwa kufanyiwa opertion ya mguu. Tunatiwa tusikie waiongeea magonjwa kama Ukimwi na Kikombe cha babu......

NB
  • Madaktati wanataiwa kuwa a uwezo wa kujua njia gani watumie kuwaslisha kero zo bila kuwahduru wananchi.....
  • Madaktari wanakula kiapo tofauti na watu kama mimi fundi mchundo. Unakijua kiapo wanachokula?

Mkuu hebu tulia kidogo,acha jazba halafu andika kwa mtiririko unaoeleweka,maana umeandika kama vile ulikuwa unakimbizwa au unagombana na key board.
 
Mkuu hebu tulia kidogo,acha jazba halafu andika kwa mtiririko unaoeleweka,maana umeandika kama vile ulikuwa unakimbizwa au unagombana na key board.
Kwani uko darasani hapa.? u wewe ni under maturity age?

Safi mtazamaji . kweli hawa wanaojiita madaktari wamezidi . Watafute majimbo ya uchaguzi wawe wanasiasa.
 
Jamani waliapa sawa, lakini kipato pia ni mhimu. Tunashuhudia viapo vingapi bana! Wewe unayesema watumie google, je madaktari wa kenya wali google kugoma? Acha siasa kwenye taaluma za watu wewe?
 
Kwani uko darasani hapa.? u wewe ni under maturity age?

Safi mtazamaji . kweli hawa wanaojiita madaktari wamezidi . Watafute majimbo ya uchaguzi wawe wanasiasa.

Na wewe wajiita great thinker .. hebu toa mfano ulitaka madactari watumie njia gani .. kama mazungumzo ya mezani wanapigwa kalenda kila siku ..
 
Update:
Huu mgogoro upo Kwa waziri mkuu, ameahidi kulishughulikia.
Tungojee majibu.
Kuhusu wanashabikia serikali mjua hata madaktari wakiamua kufanya kazi Kwa kulazimishwa mtakao umia nyie ambao hamna uwezo wa kutibiwa iIndia.
Mi na familia yangu tunaenda India mwezi ujao Kwa ajili ya Health Check !
Kule India sasa hivi kuna Hostel ya watanzania imechukuliwa na Wizara ya afya Kwa ajili ya watu Kama sisi na familia zetu.
 
Na wewe wajiita great thinker .. hebu toa mfano ulitaka madactari watumie njia gani .. kama mazungumzo ya mezani wanapigwa kalenda kila siku ..
Moja tu ni kumfugia au kumzuia mkurugenzi wa wa Hospitali ya muhimbi kutoingia ofisni hadi matatizo yao yatatuliwe.

Kuhusu great thinker nipe kipimo chako cha u great thinker wako nione kama tumetofautiana sana.

kama kipimo chenyewe ni
https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/211550-solve-this.html

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/208512-birthday.html

https://www.jamiiforums.com/sports/192375-rooney-vs-van-persie-who-is-better.html
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...hacking-types-and-tips-to-stay-protected.html

endelea kudhani na wewe ni kati great thinker lakini elewa huna tofauti na fahari ambaye yeye hajiiti great thinker

Kukuthibitishia hilo naomba uweke hapa comment zako zozote tatu kutoka jukwa lolote ulizchangia zenye chembe ya u great thinker
 
Kukuthibitishia hilo naomba uweke hapa comment zako zozote tatu kutoka jukwa lolote ulizchangia zenye chembe ya u great thinker

hapo kwenye red inaonesha how low u can go nani kakwambia yupo kwenye mashindano kama una lako jambo find another way to pick a fight lakini sio hili ... sasa ndio umeenda kuchokonoa kwenye profile kutafuta thread nilizowahi kuanzisha lol .. what a douche & option divided mate!.. but am sure uwezo wangu wa kufikiri ni ninyinyi mje kama 3 ...

na kuhusu kumfungia kumzuia mkurugenzi wa wa Hospitali ya muhimbi kutoingia ofisni hiyo itakuwa uvunjaji wa sheria ma dactari they smart enough .. sio kama ufikiriavyo weye


 

hapo kwenye red inaonesha nani kakwambia yupo kwenye mashindano k

Ungekuwa wewe haupo kwenye mashindao usingeanza kutumia maneno kama Na wewe unajiita great thinker. Maana yake umepima hoja yangu umeona niko low . ndio nataka kuona how high hoja zako zipo na zipo wapi mpaka uone niko low kiasi hicho cha mpaa wewe unaweza kuhoji kama na fahari ni great thinker.

Sana sana naona copy and paste na vijembe. Zaidi ni thread ya Bday. Huo ndio u geat thinker????????

Ndio nakuambia mimi Fahari sio great thinker. Sasa nionyeshe wewe Njiwa comment zako tatu za u great thinker maaana nimetafuta sijaona kitu

otherwise acha kutumia neno ugreat thinkerkama defence mechnisam yako au kudhani na wewe ni mmoja wao. Uweli huna huna tofauti na fahari. Tuko wengi usidhani wote wanawawashambulia wenzao kutokuwa great thinker basi wao ni great thinker. Na ndio tatizo la JF
 
Ungekuwa wewe haupo kwenye mashindao usingeanza kutumia maneno kama Na wewe unajiita great thinker. Maana yake umepima hoja yangu umeona niko low . ndio nataka kuona how high hoja zako zipo na zipo wapi mpaka uone niko low kiasi hicho cha mpaa wewe unaweza kuhoji kama na fahari ni great thinker.

Sana sana naona copy and paste na vijembe. Zaidi ni thread ya Bday. Huo ndio u geat thinker????????

Ndio nakuambia mimi Fahari sio great thinker. Sasa nionyeshe wewe Njiwa comment zako tatu za u great thinker maaana nimetafuta sijaona kitu

otherwise acha kutumia neno ugreat thinkerkama defence mechnisam yako au kudhani na wewe ni mmoja wao. Uweli huna huna tofauti na fahari. Tuko wengi usidhani wote wanawawashambulia wenzao kutokuwa great thinker basi wao ni great thinker. Na ndio tatizo la JF

what was wrong na thread ya birthday ! mtu kusema leo ni siku yangu ya kuzaliwa ni kipimo kwamba uwezo wake wake kufikiri ni mdogo ni wangapi wamekuja na thread kama zile hadi ukaamua ku ni pick mimi si bure mate we una lako jambo ....!!! seriously ... & yeh mi ni mmoja wa ma great thinker do u have any problem wit that ??!
 

what was wrong na thread ya birthday ! mtu kusema leo ni siku yangu ya kuzaliwa ni kipimo kwamba uwezo wake wake kufikiri ni mdogo ni wangapi wamekuja na thread kama zile hadi ukaamua ku ni pick mimi si bure mate we una lako jambo ....!!! seriously ... & yeh mi ni mmoja wa ma great thinker do u have any problem wit that ??!

Sijasema its wrong njiwa . Kama kwako ndio ndio ugreat thinker huo basi heshimu na mwazo ya wengine. Kama una pinga hoja pinga hoja. Kama wewe unaona hoja na kuanza kuuliza kama mimi ni great thinker wa Jf basi na mimi nakuuliza je great thier wa JF ikifika bday yake ndio anajianzishia thread.

Kama wewe njiwa ni mmoja wa ma great thinker basi na kila member jf ni great thinker so dont even bother kuuliza mtu kama ni great thinker .

Nime kupick wewe sababu wewe badala ya kupick comment yangu umehoji u great thinker wangu . Yaani badala ya kutoa hoja unauliza kama ni great thinker. So if its right for u to analyse others personalities basi jitayarishe na wewe uwe analysed zaidi ya comment zako. Na great thinker hawezi kupotez muda kuanzisha thread eti ni bday yake.

So the problem is just thinking u re also among so called great thinker while observation of your comments and thread does not differentiate njiwa , fahari and majority of jfers.

Kama unajibu au kukosoa kosoa hoja sawa sio kuanza kushambulia mtu kua sio great thinker .Otherwsie onyesha hicho kipimo cha u great thinker tukione.
 
Napita tu...
Kikao cha mkutano mkuu wa dharura wa chama cha madaktari Tanzania (MAT) kilichofanyika leo siku ya jumamosi, tarehe 14/01/2012 ukumbi wa JAFFARY COMPLEX kimejadili kwa kina yafuatayo:

1.
Kwamba, chama cha madaktari Tanzania kimejadili na kuazimia kutoa masaa 72 kwa serikali kuwa “Intern doctors” wote waliohamishwa warudishwe Muhimbili mara moja wakamalizie muda wao. Na kwamba ifahamike kuwa interns huomba kwenda kufanya internship katika hospitali Fulani kutegemeana na malengo ya baadaye waliojiwekea. Na pili kuna baadhi ya vifaa vipo mf. Muhimbili na huko kwingine haviko. Madaktari wemesikitishwa sana na uamuzi huu kwa vile haieleweki ni kwa nini “intern doctors” waadhibiwe wakati walidai walipwe mishahara yao tu na serikali ilikiri kosa hilo. Wanachama wangependa kuona waliofanya uzembe huo wanawajibishwa mara moja na sio kuachwa waendelee kuwaadhibu madaktari wasio na kosa.

2. Kwamba, kwa kuwa Intern doctors wamekuwa wakifanya kazi bila malipo kwa muda mrefu na hali hiyo ikapelekea kusitisha kazi ndipo serikali ikaamua kuwalipa mishahara yao. Kufuatia kuendelea kusababisha adha kwa madaktari na wataalamu wengine wa afya na hatimaye kusababisha huduma mbovu kwa wagonjwa, Chama cha madaktari kimeona kimshauri Mh. Rais atafute ajira nyingine kwa ajili ya maafisa waandamizi wafuatao:
a. Katibu Mkuu, wizara ya Afya , Ms. Blandina Nyoni b. Mganga Mkuu wa serikali, Dr. Deo Mtasiwa
3. Kwamba waziri wa afya Dr. Hadji Mponda (MB) afute kauli yake inayoashiria kwamba “intern doctors” ni wanafunzi wa udaktari wa mwaka wa 5. Ieleweke kwamba ni madaktari kamili, waliohitimu mafunzo yao na kula kiapo rasmi cha udaktari. Na chama cha madaktari kimesikitishwa sana na upotoshwaji huuu wa mara kwa mara. Kutokana na hayo hapo juu basi chama cha madaktari Tanzania kina msamehe kwani inaonekana hajui atendalo. Ijulikane kwamba mjadala wa hivi ulishawahi kuibushwa mwaka
2005 na waziri wa afya kipindi hicho alikiri bayana kwamba intern ni daktari kamili aliyefuzu.

4. Kwamba, chama cha madaktari Tanzania kimeamua kumsimamisha uanachama wa chama hiki Dkt. Deo Mtasiwa, ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Serikali (CMO), kwa kosa la kusaliti fani ya udaktari na pia kwa kushindwa kumshauri waziri wa afya vizuri kuhusiana na mambo yanayohusu fani ya udaktari Tanzania. Mkutano huu unamsimamisha rasmi Uanachama huo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Taratibu za kumrejesha zitajadiliwa kwenye Mkutano mkuu wa kawaida wa chama. Hii itakuwa fundisho kwa madaktari wengine wote nchini.

5. Kwamba chama cha madaktari Tanzania (MAT) kimeazimia kuitisha mkutano mwingine mkubwa wa wanachama wote siku ya jumatano tarehe
18/01/2012, kuanzia saa tatu asubuhi na kuendelea kwenye ukumbi
utakaotangazwa. Agenda za mkutano huo, pamoja na mambo mengine, zitakuwa zifuatazo:
i. Hatma ya heshima ya fani ya udaktari na mustakabali wa huduma za afya kwa watanzania
ii. Kwa nini serikali haijaanza kulipa posho ya kazi muda wa ziada (on call allowance) kama ilivyopitishwa mwaka 1990 na kufanyiwa maboresho mwaka 2008.
iii. Mshahara mpya wa daktari unaoendana na elimu, ujuzi, umuhimu, hadhi, majukumu, na hali ya uchumi wa sasa na mfumuko wa bei.
iv. Maslahi mengine ya madaktari kama nyumba, posho ya mazingira magumu, ufadhili wa masomo ya elimu ya juu na posho ya kufanya kazi kwenye mazingira hatarishi( Risk allowance).
v. Kuhamishwa hovyo hovyo kwa madaktari bingwa 61
vi. Mengineyo (kwa idhini ya mwenyekiti)
IMETOLEWA​

DR. NAMALA MKOPI
RAIS – CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT)
 
Back
Top Bottom