Ndg sio watu wote wenye uwezo wa kuwa na pesa nyingi kiasi hichohe must act fast to secure the life of the wife and baby ,hospital siku hizi lazima chochote ndio mambo yaende mkuu
Hahahah ha eti atwange ngumiHana pesa, sawa. Je, ngumi nazo hana? Amtwange mmoja anayemwomba rushwa au amrekodi. Au anashindwa kwenda kumuona DC kumueleza kadhia hiyo? Au aruke hapo wizarani fasta au awaone wakuu wa hospitali hiyo wamsaidie. Awamu hii ukionewa na kima yeyote umeyataka mwenyewe.
Hata ka sio bure but siamin gharama ni laki nnekwani kujifungua kwa operesheni nako ni bure, tuanxie hapo kwanza?
Jina halitoshi,mngeleta ushahidi wa picha, video,sautiJamaa analia tu hapa jaman anadai kuna dokta sijui anaitwa Asenga aisee kamfanyia unyama sana
Huduma kwa mama mjamzito ni burekwani kujifungua kwa operesheni nako ni bure, tuanxie hapo kwanza?
Ngoja nimsake hapa nimwambie maana sijatokaKwa ushauri wangu jamaa amwone mganga mkuu wa hospitali anaepatikana hapo hapo hospitalini aelezee tatizo lake haraka au aende kwa aidha Katibu wa Afya wa manispaa (Municipal Health Secretary) au mganga mkuu wa manispaa (MMOH/ DMO) ambao wote wanapatikana pale Idara ya afya iliyopo Magomeni karibu na ofisi za mkuu wa wilaya. Naamini atapata msaada wa haraka kuokoa maisha ya shemeji yetu na mtoto.
Hiyo ni emergence, save somebody's life first baadaye kama kuna malipo ndo unampa bill. Wasamaria wanaweza kujitolea kumsaidia kulipa bill. Jamii yetu ndo maana tunaitwa wanyama pori sababu hatuna utu kabisa. Ndo maana tunauwana kama wanyama pori. Imagine Daktari kwa profession yake anashindwa kujua the essence of somebody's life. We are too much material. We appreciate much of material things and ignore our values. The values of being, is nothing to us. That is pathetic. Halafu eti watu wanakuja wanalala Watanzania tunapendana sana. Upendo wa Kinafiki tu.kwani kujifungua kwa operesheni nako ni bure, tuanxie hapo kwanza?
Ww nenda na huyo ndugu wa mgonjwa kwa hao madaktari halafu warekodi jinsi wanavyoomba rushwa, jitahidi uwahoji kwa kirefu ili tupate ushahidi tuwapeleke mahakamani. Very sad!!Nimekuwa nakuja hapa Sinza palestina kwa siku nne mfululizo nikiwa namgonjwa nakuja kumuona
Jaman kuna kijana hapa mkewe ana siku leo ya tano hapa siku zake za kujifungua zimepita karibia mwez na mkewe anashikwa uchungu ingawa njia haijafunguka na haifunguki
Solution madaktari wanasema lazima apasuliwe sasa shida imekuwa wanampiga danadana mara kesho,mara kesho kutwa lakin pembeni wanamuuliza kama ana laki nne wamfanyie mkewe fasta
Jamaa hiyo pesa hana na mkewe anateseka sababu presure imeshuka na ana kisukari ila hawajali
Cha ajabu kuna wanawake wanakuja siku moja na kuingizwa kufanyiwa upasuaji huku yeye wakimpiga danadana
Leo jamaa kaniambia wamemwambia kama ana laki mbili awape na yeye anavyodai ana hali mbaya hana hiyo pesa
Anasubiria kudra za Mungu tu jaman mpaka namuonea huruma
Kwa wale mnaofanya kazi hosp nisaidie hiyo siyo rushwa? Kwahiyo bora huyu mama afe kwa sababu hiyo laki nne imekosa?
Nimeumia sana!
Umeongea ukweli kakaHiyo ni emergence, save somebody's life first baadaye kama kuna malipo ndo unampa bill. Wasamaria wanaweza kujitolea kumsaidia kulipa bill. Jamii yetu ndo maana tunaitwa wanyama pori sababu hatuna utu kabisa. Ndo maana tunauwana kama wanyama pori. Imagine Daktari kwa profession yake anashindwa kujua the essence of somebody's life. We are too much material. We appreciate much of material things and ignore our values. The values of being, is nothing to us. That is pathetic. Halafu eti watu wanakuja wanalala Watanzania tunapendana sana. Upendo wa Kinafiki tu.
Kaka labda utafute staff mmoja wa palestina atakupa info za huyo Assenga hata wao wamemchoka na wanamchora kwa tabia zake za kupenda hela! Fatilia na wewe usikieAwe na Subira tu shemej atakuwa poa ''ingekuwa ni Emergency case angeshafanywa C/S maramoja wale wamama wanaoenda c/s wapo na complcatn zaid kushinda yy ''huyo shem anaweza kuwa yupo kwenye trayo anaweza kudeliver cvd''madactar sio wajinga hivo na hatuna njaa hizo mkuu
Lazma itakuwa every thngs is fyn kwa maza na beb tatizo ni edd tu kuzid ambayo ni Norman inaweza kuzd 2weeks au kupungua 2weeks ni kawaida aache kupanik
Swala la rushwa ni jingne kabisa halihusian na mgojwa kutojufanywa c/s km indication za kwenda theatre zipo ataenda tu huyo doctor anaekudai rushwa mmpuuze
Hata hvyo tusipende kujaji vitu upande mmoja tu tena kwa hisia kal kwa kulaumu tu
Hiyo ni tabia ya mtu tu haimanish mgojwa hatopata huduma wodin kuna staff weng wanaomsaidia mgojwa hawawez kumwacha et mpaka wapate Pesa hiyo ni impossible kinacho fanyika pale mara nyng doctor anakusoma maind yako unawasiwas kias gan na mgojwa wako na anafanya mapema sana pale mnapofka tu hosp na akiona unatoa maelezo na unahofu sana km ni mpenda rushwa anakuchomekea hapo leta kias fln kwajl ya vifaa tumwahishe oparation km unazo unatoa au utakopaKaka labda utafute staff mmoja wa palestina atakupa info za huyo Assenga hata wao wamemchoka na wanamchora kwa tabia zake za kupenda hela! Fatilia na wewe usikie