Nimekuwa nakuja hapa Sinza palestina kwa siku nne mfululizo nikiwa namgonjwa nakuja kumuona
Jaman kuna kijana hapa mkewe ana siku leo ya tano hapa siku zake za kujifungua zimepita karibia mwez na mkewe anashikwa uchungu ingawa njia haijafunguka na haifunguki
Solution madaktari wanasema lazima apasuliwe sasa shida imekuwa wanampiga danadana mara kesho,mara kesho kutwa lakin pembeni wanamuuliza kama ana laki nne wamfanyie mkewe fasta
Jamaa hiyo pesa hana na mkewe anateseka sababu presure imeshuka na ana kisukari ila hawajali
Cha ajabu kuna wanawake wanakuja siku moja na kuingizwa kufanyiwa upasuaji huku yeye wakimpiga danadana
Leo jamaa kaniambia wamemwambia kama ana laki mbili awape na yeye anavyodai ana hali mbaya hana hiyo pesa
Anasubiria kudra za Mungu tu jaman mpaka namuonea huruma
Kwa wale mnaofanya kazi hosp nisaidie hiyo siyo rushwa? Kwahiyo bora huyu mama afe kwa sababu hiyo laki nne imekosa?
Nimeumia sana!