Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

Wanavyomnanga Dr. Ulimboka wananikumbushia enzi za Mgaya na mgomo wa wafanyakazi! Inashangaza kuona kuwa kila anayejitokeza kuiface serikali bila uoga ana-happen kuwa mkorofi na mwenye utovu wa maadili!! Siku wananchi wote wakiandamana na kuichachamalia serikali katika kudai haki zao ndipo watakapojua hali halisi. Ingawa ninahisi kwa jinsi walivyotugawanya haitokuwa
 
who is at least a leader in this great nation? We are tired of rulers!
 
NI kweli kabisa, ila wamekosea kitu kimoja, Ulimboka is there for a purpose!!! na jamaa ni jembe😛oa
 

Maslahi ya daktari, hayamhusu lakini ya wabunge yanamhusu moja kwa moja
 
mmh wakirudi nyuma nitawaona wa ajabu haswa.
washikamane mpaka kieleweke.
kila la kheri doctors.
 

Tukikubaliana hospitali zote zifunguliwe saa 1.30asubuhu zifungwe saa 9.30mchana. Hakuna Dr anataka posho yao ya Sh 10,000 kwa kukesha. Posho ya vikao ya bunge si sawa na posho ya kukesha na wagonjwa usiku. Posho zinazopingwa ni posho zisizo na tija kama za watu kulala bungeni. kama unaona posho za Drs hazina tija toa hoja tufunge hospitali saa 9.30 nina imani Drs wote watakuunga mkono.
 
up date vp? waliopo mahospitalini mtupe taarifa
 
madaktari katika hospitali ya mkoa wa mbeya wameitikia wito wa waziri mkuu wa kurudi kazini leo.
 
kigoma katika hospitali ya maweni huduma zimerejea kama kawaida.
sosi;tbc habari saa 4.
 
mmh wakirudi nyuma nitawaona wa ajabu haswa.
washikamane mpaka kieleweke.
kila la kheri doctors.


teh teh,unawashangaa wenzako wakati we upo kazini kwako unasubiri kusaini posho.usiwadanganye wenzako wewe
 
sasa mimi dr wa wanyama sijui niwaunge mkono hawa jamaa..........\Orait, kesho siendi kuwatibu wale wadudu wa mzee Macha.
Nagomaaaa.........I am supporting you guys.........100% pamoja.

Mkuu umenichekesha sana,,,,hao wadudu wa mzee macha watakuwa ni Kitimoto tuu. Bravo, nakuunga mkono
 

FF you are sick!! You are psychologically sick and well surrounded with inferiority disease!! Lugha ile aliyoanzisha Nyerere, twaweza sema wewe ni KABURU. Where did you get all these feeling? Kwamba JK anapingwa just because ni Muisilamu? Mzee mwinyi hakuwa musilamu? Kama its all about criticizing kuna mtu analaumiwa kama Mkapa? Je Mkapa ni musilamu? Nyinyi watu mlishikwa na huu ugonjwa toka mwaka 2010, pale Jk alipogundua hatoweza kushinda akaamua kupandikiza udini, sasa watu kama wewe mkaundelelza, JK alidhani baada ya hila zake zooote ungeisha, well I can see umeshika kasi...

FF JK ni rais, kwa maneno yenu, aliyechaguliwa na wananchi (well, wengine tunaamini aliwekwa na NEC)!! Kwa sasa tumekubali na tunatambua yeye ndo amiri jeshi mkuu, alkini akivurunda hatutomuonea haya, tutamsema kama wengineo wote, humu tunamsema yeyote iwe Nyerere, Mwinyi, Mkapa hata yeye!!

Acha udnini na kujihisi hivo, haitakusaidia mkuu!!!
 
Lini mtaamka Watz? Wake up guys ur country is in ruins held by Robbers!!!!!

" We must be angry if we want to save this country"

Lucy Oriang- Kenyan Journalist

The same will have to apply in Tanzania, we the people must be very angry to save our country and not the leaders. However angry they are, they will not save this country.

Do they care?
 

if you dont like it here why the hell dont you just move to let say cameroonland and be a citizen there instead of talking pointless?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…