Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

Madaktari: Hakuna anayerudi kazini kesho!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,298
Madaktari wamekutana na waandishi wa habari muda si mrefu na kutoa kauli ya kukaidi amri ya Waziri Mkuu juu ya wao kurejea makazini kesho.

attachment.php

attachment.php

Dr. Stephen Ulimboka, mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari akitoa tamko lao...
 
Attachments

  • Stephen Ulimboka.jpg
    Stephen Ulimboka.jpg
    22.7 KB · Views: 3,613
  • dr-steven.jpg
    dr-steven.jpg
    20 KB · Views: 3,385
Huyu Pinda has reached the limit of his wisdom. Bado kidogo tu ataanza kulia lia.
 
Hapa ndiyo penyewe sasa. Mbona wabunge walipodai ongezeko la posho ya kukaa hapakutolewa amri? Zaidi tulipewa habari za kukubaliwa madai yao kwa kile kilicho elezwa gharama za maisha zimepanda mjini Dodoma.

MaDr. komaeni na msilegeze kamba. Haki haipigiwi magoti.

BRAVO kwa msimamo.

Nawasilisha.
 
Tatizo ni kwamba wanasiasa wetu wanajifanya kuendeleza ubabe wa kizamani,I don't know what will be the next move baada ya madaktari kukaidi amri yake.Serikali yenyewe imefilisika,They don't have the guts to do anything to them.Endelezeni msimamo docts
 
Naona madaktari wameamua 'Haondoki mtu yeyote hapa mpaka kieleweke'. Kaeni nao mkubaliane ni kiasi gani mlipwe, ikishindakana basi kuna soko huria out there! Kwa kuwa wabunge wataongezewa hivi punde basi vuteni subira wakipitishiwa hiyo 200000 basi hwatakuwa na sababu ya kuwanyima hicho kiasi mnachotaka.
 
Unafikiri alikuwa hajui kuwa haturudi kazini kesho?

Anajua ila anataka kuua watu wengi zaidi kidogo kama walivyofanya kwenye Loliondo!!!!!

Kesho haturudi kazini thats it enough is enough, ngoja aende yeye kuhudumia wananchi ila sisi hatuendi hadi kieleweke. Waziri mbumbumbu sana huyu hajibu hoja hata moja halafu anatudhalilisha. Kesho hatufanyi dharura wala sijui nini, tunaacha hii kazi fed up with this servitude
 
Steve Dii,

Hebu jiulize, mnajaribu suluhu, jamaa wanasmea kama hamtaki acheni tuta-import from Cuba, then out of blue mnakwenda kwa PM then katibu wake anawayayusha, then on saturday evening, anasema mnkutana kesho asubuhi, not a working day, ni watu wazima, wanamipango yao ya wikendi na familia, wana imani zao zisizowaruhusu kuhangaika jumamosi wala jumapili, ghafla PM anapanga atakacho, and then anakwenda kumbini, watu hawajafika, kisha anatoa order

this is crap!!!!

Pinda needs to learn that hea has the least convincing power ndani ya cabinet, afadhali hata adam malima, the best he can do ni kulia na kushangaa, au kwenda kijijini kupiga picha akiwa shamba.... HE IS LOSING IT, and ni mmoja wa outsiders

LETS WAIT AND SEE, TOMORROW IS JUST A FEW HOURS TO COME!!!!

Nafananisha hii na mkeo karudi kwao, unamuita muongee hatokei, and then unasema kesho asubuhi usipokuja umejifukuzisha.... in a modern world, she wont come back!!!
 
Serikali tatizo kila kitu inafanya ubabe wakijiona wao ni wajuaji zaidi mbona wakati wabunge wanajiongezea posho Pinda hakutoa kauli au amri yoyte ile lakini leo hii kwa madaktari anajifanya kutoa kauli za kuwatishia kuwa watafukuzwa kazi, tatizo la Pinda nafikiri kazi yake ni kupokea maelekezo na kuyatamka hivyo hivyo bila kujua athari zake mbeleni zikoje...
 
wenye pesa, fungueni private facilities.... resources hizoooo maana serikali ianfukuza watu kesho!!!!
 
Serikali tatizo kila kitu inafanya ubabe wakijiona wao ni wajuaji zaidi mbona wakati wabunge wanajiongezea posho Pinda hakutoa kauli au amri yoyte ile lakini leo hii kwa madaktari anajifanya kutoa kauli za kuwatishia kuwa watafukuzwa kazi, tatizo la Pinda nafikiri kazi yake ni kupokea maelekezo na kuyatamka hivyo hivyo bila kujua athari zake mbeleni zikoje...
Pinda ni beneficiary wa posho... unajua anakunja shilingi ngapi kwa kikao?? hata cha leo alichoitisha yeye?
 
Wasiporipoti kazini kesho, Hapo ndipo itakapojulikana umuhimu wao. Kama Pinda ni mtoto wa Mkulima basi ajue sisi ni vibarua wa hao wakulima. Ashindwe kabisa nani arudi kwa vitisho?
 
Steve Dii,

Hebu jiulize, mnajaribu suluhu, jamaa wanasmea kama hamtaki acheni tuta-import from Cuba, then out of blue mnakwenda kwa PM then katibu wake anawayayusha, then on saturday evening, anasema mnkutana kesho asubuhi, not a working day, ni watu wazima, wanamipango yao ya wikendi na familia, wana imani zao zisizowaruhusu kuhangaika jumamosi wala jumapili, ghafla PM anapanga atakacho, and then anakwenda kumbini, watu hawajafika, kisha anatoa order

this is crap!!!!

Pinda needs to learn that hea has the least convincing power ndani ya cabinet, afadhali hata adam malima, the best he can do ni kulia na kushangaa, au kwenda kijijini kupiga picha akiwa shamba.... HE IS LOSING IT, and ni mmoja wa outsiders

LETS WAIT AND SEE, TOMORROW IS JUST A FEW HOURS TO COME!!!!

Nafananisha hii na mkeo karudi kwao, unamuita muongee hatokei, and then unasema kesho asubuhi usipokuja umejifukuzisha.... in a modern world, she wont come back!!!
Cousin naona serikali inajaribu kupima kina cha maji kwa kutumia mkono
 
Steve Dii,

Hebu jiulize, mnajaribu suluhu, jamaa wanasmea kama hamtaki acheni tuta-import from Cuba, then out of blue mnakwenda kwa PM then katibu wake anawayayusha, then on saturday evening, anasema mnkutana kesho asubuhi, not a working day, ni watu wazima, wanamipango yao ya wikendi na familia, wana imani zao zisizowaruhusu kuhangaika jumamosi wala jumapili, ghafla PM anapanga atakacho, and then anakwenda kumbini, watu hawajafika, kisha anatoa order

this is crap!!!!
Huyu PM angekuwa na busara angekubali ombi la madaktari kukutana nao kesho, uwaziri mkuu wake usingepungua na labda angejijengea heshima kwenye jamii. Kesho aibu itamshika pale madaktari watakapoendelea na mikutano yao.
 
Sasa madaktari wadhihirisha immaturity tena. Wao wamesema hawawezi kukutana na waziri mkuu siku ya jumapili, lakini wameweza kukutana na waandishi wa habari!
Nadhani kuna madaktari wanapenda mgomo uendelee kwa sababu after all mshahara wao wanaendelea kupata na muda huu wa mgomo wanaendelea kufanya shughuli zao nyingine ikiwemo kwenda kutibia hospitali private...
 
Poleni doctors, hata Kama mnaendelea na mgomo angalau emergency services ziendelee,

I know where Pinda is coming from, mliposema awafuate, mlipoongea Sana kuwa he might need you and you don't throughout your continuous meetings, I saw this coming, he had to prove to us and to you guys that he is the one to decide,

Further to that, fellow JF members, brace yourself for a highly publicized strike news, volumes of patients in dire need, scores and hundreds of patients being turned out and rejected....yes this will now be nation against u guys....
tanzanians we forget too quickly that the same potray of long queues and the like has always been there...it's just getting better

Poleni sana madaktari, lakini solidarity forever....
 
Back
Top Bottom