rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
igp.........................muslam.
mkuu tss................muislam.
jai mkuu.................muislam.
waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
Mbona wakatoliki wanajihesabu wenyewe na hawalalamiki na wanajipangia wao maendeleo yao hivi waislamu mna matatizo gani ninyi?
NJOONI KWANZA MUWATOE WAISLAM WALIOOMBA UKARANI WA SENSA.
Ili kudhibitisha kuwa Nyie si Wanafiki..
TUMEWACHOKA
hahahahahahahahahhahahahahahaha
umeni furahisha sana.
Hata mimi migomba yangu hiingie kwenye sensa
Mbona wakatoliki wanajihesabu wenyewe na hawalalamiki na wanajipangia wao maendeleo yao hivi waislamu mna matatizo gani ninyi?
narudia kusistiza.......... maswala ya imani zetu tusiyalete humu........ kma lnakukera lipeleke kwenye vyombo vya dini husika....... kwa wale wapagani mezea mdo mdo......
Let's discuss issues which will take us forward as a nation and nt individually nor segregatively........
Badala ya kuwaza ya kuishi wewe unawaza ya kuzikwa.........kuna mtu amekosa pa kuzikwa tangu uzaliwe hapa Tanzania just kwa sababu ya imani yake?........shame on you and of your kind!
Kila mtu atabeba mzigo wake ,haitujalishi nani muislamu ikiwa jaji au mfungwa ,maana mkiguswa kidogo tu mnada sijui katibu muislamu mwenye kiti muislamu mwenye upawa muislamu mwenye sufuria muislamu . Msishituke kama kuna wakiristo jina basi vilevile kuna waislamu jina.
Kipengele lazima kiwemo ,mpo awu hahisabiwi mtu hapa !
ni muda mrefu waislam wa tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. nyumba za ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-jf wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (kumbuka waislamu, wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
Hakuna huduma zinazotolewa au zinazotakiwa kutolewa na serikali kulingana na imani....
Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? ....
mimi sijaliona dodoso ila naomba unisaidie...kwenye hicho kipengele cha nyumba za ibada, je wameweka specifically nyumba ya ibada ya dhehebu gani au wanataka kujua kuna nyumba za ibada ngapi bila kujua dhehebu kwenye eneo husika?Sina maana hiyo. Namaanisha kwamba kuna haja gani sasa ya kuhesabu nyumba za ibada wakati waabudu wanaoingia kwenye hizo nyumba wenyewe bila kuhesabiwa? Kuna Nini kilichojificha hapa katikati?