Madai kwamba E.L; R.A na E.C wamepewa siku 90 kujihengua si za kweli.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Azimio la kikao cha NEC ya CCM kilichopita kuhusu viongozi na wanachama wa chama hicho wanao tuhumiwa kwa vitendo vya rushwa linasomeka ifuatavyo:
"5(d). Chama cha mapinduzi na serikali zake kiongeze kasi ya mapambano dhidi ya viongozi na wanachama wanaojihusisha na rushwa. Aidha viongozi na wanachama wanaotuhumiwa kwa vitendo vya rushwa wajenge tabia ya kuwajibika wenyewe kwa maslahi ya chama. Wasipofanya hivyo chama kiwajibishe kwa maslahi ya chama na nchi." Kutokana na azimio hili ni dhahiri hayo madai ya wakina Lowasa kupewa siku 90 za kujihengua ni za kufikirika
 
Back
Top Bottom