Madagascar yaripoti kifo cha kwanza cha COVID19

Madagascar yaripoti kifo cha kwanza cha COVID19

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Madagsacar imetangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa CoronaVirus. Aliyefariki ni mzee wa miaka 57, alikuwa ni mfanyakazi wa Hospitali moja katika mji wa Toamasina

Wiki kadhaa zilizopita Rais wa Madagasacar alitangaza kuwa na dawa ya mitishamba ya kutibu CoronaVirus ambayo nchi kadhaa za Afrika zilienda kuchukua dawa hiyo Tanzania ikiwemo

CoronaVirus ilibuka Desemba 2019 katika Mji wa Wuhan nchini China na sasa imeshasambaa kwenye nchi 188 duniani

Visa vya CoronaVirus dunia nzima ni 4,750,616, watu 1,830,526 wameripotiwa kupona huku kukiwa na vifo 313, 805.
 
kwani pakiwa na dawa..ndio ina maana kwamba hakuna mgonjwa hata 1 ambaye hatokufa. ..acheni ujinga basiii..

halafu wengine mnajiita wasomi idiot
 
Back
Top Bottom