Hakuna ubaya. Tena wawezakuta both baba na mama wako JF kwa wakati huo mmoja.
Michelle ataondoka JF pale itakapobidi na si vinginevyo. Kama nakukera .Nipotezeee manziiiiiiiiii!!
Yupo hapo sasa hivi?
Anajua kubembeleza?
Anabembelezeka?
Sayu sayu Dena..
Bara geheri ?
Mie sitaondoka hata pale itakapobidi.
Huyo balaa buluu ..
Anabembeleza , anatekenya ,ananyonya ,
Kukumbatia kwa kwenda mbele... ...
Na anabembelezeka.. house girl kapona ..
Dahhh EMT...
Kuna kitu nilikiwaza siku za karibu...
Hapa JF na utani wetu wa hapa na pale
Baina ya member wa kike na wa kiume ..
I was just wondering hivi watu hapa hawatongozani na wenza wao kweli ? Itakuwa vipi waki pelekana PM halafu ukweli ufunuke?

Nakuona tu siku hizi na wewe umekuja na slogani kama ya Figanigga ya mia
Mie sitiani usiku natiana machana tu tena week ende peke yake
Heri kumtongoza mwenza. Unaweza kujitetea. Vipi kumtongoza kaka au dada yako? Nina wasiwasi mkubwa Lizzy anaweza kuwa dada yangu.
Heri yako mkuu,mi kuna wakati nabanwa mno,kama kipindi kile nimeondoka yaani nilikuwa hata e-mail nashindwa kujibu,by the time nafika home,kichwa hakifai....ikabidi tu nikae pembeni....!! Ila kwa sasa,wataniona hadi wapasue laptop zao!!
Hhaahahha. . . bei gani vile?
Nataka mmoja kwaajili ya Gentleman.
Heri kumtongoza mwenza. Unaweza kujitetea. Vipi kumtongoza kaka au dada yako? Nina wasiwasi mkubwa Lizzy anaweza kuwa dada yangu.
Heri kumtongoza mwenza. Unaweza kujitetea. Vipi kumtongoza kaka au dada yako? Nina wasiwasi mkubwa Lizzy anaweza kuwa dada yangu.
Hahahaha lol
We ndo umevunja kila kitu unatiana weekend tu. .. hahahaha lolz ..
Mi hiyo si wezi aise lolz ya weekend tu
We missed you. Kwa sasa computer yangu naitafutia protection just in case.
Umebarikiwa, hata usije juta kumtongoza,she is a great woman.....!
Naisubiri hiyo siku kwa hamu....he he he,hata kama sipo JF,nipigie simu AD wangu!
Huyu dahhh si gali kabisa $50,000.
..... hana ngoma na hawezi kupata mimba
I'm telling you she is worth it. .