Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Basi tu wivu unamsumbua Kurwa. . . siunajua tena watu walivyo. Wakikosa wao basi na wewe ukose, hiyo ndio starehe yao.

Auchi Doto bana ..
Duhh tayari saa saba usiku ..
Halafu guess what tutaonana Jpili basi
Naenda kule mahali kesho
 

Lakini wewe huna mume!
 
Michelle Hana mume,anaishi kwa baba yake hadi hapo atakapoondoka hapo kwenda kazini, masomoni, kwa mumewe au kaburini, Michelle anakula na kulala kwa babaye….hapendi ila sasa ndo anashughulikia aondoke kwenye hatua hiyo.


Ndo amemaliza Master's degree yake, anajipanga ajiajiri,atafute kazi au aendelee mbele kusoma PHD….!!


Michelle yuko kijijini hakuna movie za kununua au cinema ameshamaliza zote alizokuja nazo kijijini, huku aliko hakuna shopping mall, marafiki wako Dar na miji mingine, …Michelle akiamka,husali,fanya usafi wa ndani na nje,pika chai,soma e-mail,bandika chakula,then huoga na kula chakula…akimaliza,hujipumzikia kwa nusu saa, hujisomea walau kitabu chake kwenye e-books, then huanza kukaa JF hadi pale usingizi utakapompata. Michelle hushiriki kazi za kijamii pale inapombidi.


Michelle hapendi kukaa idle,kwahiyo huja JF, kujifunza,kushauri,kupeana moyo na wenzie,kushauriwa,kupata kampani na kufurahi….!


Michelle anajielewa,anajua hatua alipo kwenye maisha yake,anajua ndoto zake na mawazo yake ya mbeleni. Kwa msaada wa Mungu aliyeanza kazi njema kwenye maisha yake,na kwa mapenzi yake,kila kitu kitatimia.


Michelle ataondoka JF pale itakapobidi na si vinginevyo. Kama nakukera….Nipotezeee manziiiiiiiiii!!
 
Haya hapo chini
Wababa hao wamezamia kwenye soccer
Kuna ubaya gani kina mama wakiingia
JF ?

Hakuna ubaya. Tena wawezakuta both baba na mama wako JF kwa wakati huo mmoja.
 
Natamani nikulipe kwa topic hii,nitafute nikupunguzie kidogo dada.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…