Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Mamababu, wengine wako nje ya Tanzania na wakati wewe umelala wao ndio wameamka. Wengine ni watu wa usiku. Wengine kama mimi ni 24/7 highly addicted with JF.

Labda anadhani Tanzania kukiwa usiku basi dunia nzima nayo inakuwa usiku?
 

Hii mbona haijajibiwa? Imemshinda?
 
Hujambo?
Nimeona niulize maana we hujaniuliza.

Mie sijambo. Ukitaka kujua afya yangu mie ni mzima hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.
 
Hivi kina baba tu ndo wanaruhusiwa kuwa JF 24/7?

Kwa hiyo hata akina kaka hawaruhusiwi? Ila inaonyesha akina mama ruksa maana yeye anawaongelea wadada tuu
 
Wanawake wengi ndoa zetu ni mateso!

Ikitokea sehemu yoyote ya kutusaulisha mateso inabidi tuwemo hivyo hivyo!

Wengine waume zetu huwa wapo nyumba ndogo mpaka saba usiku!
 
Reactions: EMT
Mh, Usiku? Wa nchi gani labda ungetuhabarisha? We upo TZ au China au USA au wapi jameni maana kote kote tupo na maisha yaenda. Kwa uthiku umenithingidhia, sijawahi.
 
Mie sijambo. Ukitaka kujua afya yangu mie ni mzima hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.

Kama hofu na mashaka unayo mbona ukakawia kuuliza? Mi hali yangu sio nzuri, akili inataka JF tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…