Madada wazuri- Pretty girlz

Madada wazuri- Pretty girlz

Kujikondesha sana nako kubaya

Hawa ni wajanja.....na hizi kazi zao huwa ni seasonal ...kwahiyo inapofika season ya kufanya marketing ili utengeneze fweza ni lazima tu u comply na industry requirements, competition.....ndio hapo kushindia maji na ka apple kamoja...na vi food supplement....wanatia hurumana wanaongelea...ila ndio wana make mane...season ikiisha huwa wengine wanajiachia..
 
nimeipenda hii uploadfromtaptalk1450124864966.png
 
Daah. ..iko toto moja kama Naomii naijua lakin ndio vile tena wahaitotoleshaa dah
 
Umenipa idea, ngoja niiandikie paper kisha niitafute fund NGO tokomeza artificial and maintain naturality.
Ila wanaume mna nafasi kubwa sana ya kuuzuia hii kitu. Yaani kuanza kuwa reject wale wanaotumia mikorogo na kuwapita kama hamuwaonihata wawe wazuri vipi, shida yenu tuu hamtaweza kuvumilia kufunga zipu mtaifungua tuu halafu mkishamwaga mnaanza kumnanga mschana mwenyewe many were ya wafu kope za katani kucha za plastiki uso Fanta mkono na miguu Pepsi na madogo kibao.
We use asilia nao wapo wapate ni hao ila wale wa dukani muwagwae ili wajipende wakawa na rangi zao asilia.

Katika hili mie nadhani limekaa sana katika uelewa wa wanawake about men minds...Of course wanaume wanavutiwa na mng'ao, nangozi nyororo ya mwanamke....nadhani ni kiashiria kwa mwanaume evolutionary kwamba huyu mwanamke na ngozi hii mororo...ana afya nzuri kiasi nikimpa mimba atanizalia watoto wenye afya ...na kunyonyesha...

haijalishi weupe au weusi ili mradi awe mororo....and thats all....ila sasa kwa kwa mwanamke nadhani thinking iko tofauti anaweza akaitwist hii dhamira ya mwanaume kutaka ngozi soft, nourished and clean....na akaanza kupaka cream...then mkorogo...na then kuwa cheap.....

nahizi nyege za gafla za wanaume ..ndio hapo wana take advantage ya available cheap harakaharaka nakaucha...sio love as such bali ni tabia mbaya tu....siipigii debe hata mimi...ila ni mgongano wa dhamira....huyu anataka mwanamke mwenye afya ...na huyu antaka mwanamme anaejiweza....
 
Ukiona kuna kitu wadada wanafanya sana ujue soko lake ni kubwa sana (men) being tako la mchina, kujiuza, make ups nk
 
Aiseeh.... so they beat around the bush....

yeah...ukitaka ku prove ..wewe kumbuka ule udongo mliokua mnatumia shule...jaribu kujua ingredients zake kwa majina ya kiingereza halafu kila uendapo shopping tazama contents za cosmetics tofauti ....yani lazima utakuta huo udongo upo tu kwenye hizo brands kubwa.....

Yani nikama wanavyochukua mchanga wa dhahabu kwenda kuusafisha japan\china then kutuletea gold plated jewelry na kutuuzia bei ya juu
 
1989, tyson akiwa kwenye peak, akiwa na super model very young naomi camppbel.....enzi hizi tv hakuna, magazeti labda africa now...otherwise ni redio tu kwakwenda mbele......eneo nililokua nakaa mimi miaka hiyo antena za tv zilikua katika nyumba mbili tu

Poa mkuu
 
yeah...ukitaka ku prove ..wewe kumbuka ule udongo mliokua mnatumia shule...jaribu kujua ingredients zake kwa majina ya kiingereza halafu kila uendapo shopping tazama contents za cosmetics tofauti ....yani lazima utakuta huo udongo upo tu kwenye hizo brands kubwa.....

Yani nikama wanavyochukua mchanga wa dhahabu kwenda kuusafisha japan\china then kutuletea gold plated jewelry na kutuuzia bei ya juu

Kwakweli wameturubuni vya kutosha yapasa tusimame sasa na kufanya yetu. Tusifate ya kwao hata kidogo tufanye
 
Umenipa idea, ngoja niiandikie paper kisha niitafute fund NGO tokomeza artificial and maintain naturality.
Ila wanaume mna nafasi kubwa sana ya kuuzuia hii kitu. Yaani kuanza kuwa reject wale wanaotumia mikorogo na kuwapita kama hamuwaonihata wawe wazuri vipi, shida yenu tuu hamtaweza kuvumilia kufunga zipu mtaifungua tuu halafu mkishamwaga mnaanza kumnanga mschana mwenyewe many were ya wafu kope za katani kucha za plastiki uso Fanta mkono na miguu Pepsi na madogo kibao.
We use asilia nao wapo wapate ni hao ila wale wa dukani muwagwae ili wajipende wakawa na rangi zao asilia.
Mungu ni mwema na kamuumbia kila mtu na mwenzi wake, hivyo wale wanaotaka weupe watawapata weupe kwa asili, sisi wa kutaka maji ya kunde nasi Mungu katuumbia, vile vile true black. Kuhusu NGO ni wazo zuri, lakini mbona avatar yako pia mkorogo.
 
anatia huruma kajishusha, na kuadmit makosa yake. kaomba msamaha karudisha heshima...analipwa ku show up on some shows, movies etc....hali simbaya sana ameanza kutengeneza millions ila hachezei hela kama anavyofanya maywether sasa hv

Feza bwana tuitafute tu ila ina madhara yake........

Mike_Tyson.jpg

Duh, asante kwa taarifa mkuu, maana kuna tetesi nilizipata kuwa Tyson ameamua kuwa shoga maisha yamemvuruga.
 
jamaa ameacha kweli ukorofi wake? Maana juzi kati hapa nilisikia kuwa alimtandika jamaa mmoja masumbwi
 
Duh, asante kwa taarifa mkuu, maana kuna tetesi nilizipata kuwa Tyson ameamua kuwa shoga maisha yamemvuruga.

alishawahi kutamka maneno kuushambulia ushoga vikamtokea puani.....ndio pamoja na hili aliomba msamaha.... katulia sasa hv...yani ana adabu...ile jeuri haipo...yeye kuwa shoga hapana......jamaa ni mbabe kimfumo dume kwa sana......Hivi unajua alishajisifu enzi zake kulala na wanawake zaidi ya 20 kwa siku na akitumia pia madawa ya kuongeza nguvu kama viagra...
 
Mungu ni mwema na kamuumbia kila mtu na mwenzi wake, hivyo wale wanaotaka weupe watawapata weupe kwa asili, sisi wa kutaka maji ya kunde nasi Mungu katuumbia, vile vile true black. Kuhusu NGO ni wazo zuri, lakini mbona avatar yako pia mkorogo.

Vaa miwani yako vizuri ung'amue rangi halafu, uache kufatilia avatar, kuna waliofatilia avatar saahizi wako
 
Back
Top Bottom