Kumbe wanaongia kwenye fani ya urembo na kupaka yale mamekapu yao huwa yanawabadilisha na kuondoa uzuri asilia eeehhh. Yaaani baada ya kuona picha ya huyu dada alivokuwa mrembo na hapo ni asilia labdahizo nywele. Ila uso uko so natural hadi raha. Ila picha za baadae sijui kapaka mekapu ya black sijui mekapu ya gold brown yaani wazungu wabaya sana wameharibu uhalisia wa huyu dada.
Nimejikuta nawaza tuu, kwani haiwezekani mtu akawa mrembo bila mekapu? na akashiriki hiyo fani ya urembo bila mekapu?................
Ndio nini ?

Hivi jamaa kiuchumi yukoje saa hizi!!?, maana kuna taahira mwenzake sijui myweather ameanza kutapanya mali. Kwa kweli Trump kasema ukweli kuhusu mwafrika.
Hivi jamaa kiuchumi yukoje saa hizi!!?, maana kuna taahira mwenzake sijui myweather ameanza kutapanya mali. Kwa kweli Trump kasema ukweli kuhusu mwafrika.
Msema ukweli mpenz wa Mungu, on daily basis sipaki mekapu ila kukiwa na special occasion napaka very light mekapu kiasi kwamba hutagundua tofauti. Na occasion nyingine natokeaga hivohivo bila mekapu. I like being simple basi.Wewe hupaki mekapuuu!!
Kiukweli kuna wazungu ambao ni wazuri wa sura pia bila mekapu ila uzuri wa kiafrika ni mzuri zaidi. Mie naona hizo mekapu wameleta wazungu ili kutuma ribs ngozi tuu maana kama issue ni mekapu basi tupake ile ya kimasai inaitwa sijui loshoroo sijui loshoo iko ya unga hivi mlainii kama udongo. Wakati tunasoma sekondari huko mabwenini tuliupaka sana. Walau huo hauna madhara kama hayo maunga yaoNi kweli mkuu huyu dada ni mzuri sana, na akiwa haja weka make up...saaana nasisitiza maana nimesha mshuhudia mara kibao nikajiuliza maswali kama wewe....
labda wazungu wanapenda ma makeup
Umenipa idea, ngoja niiandikie paper kisha niitafute fund NGO tokomeza artificial and maintain naturality.Black beuatiful ni bidhaa inayotoweka kwa kasi duniani, na cha ajabu sijaona NGO iliyojitokeza kuokoa hilo.
Hiyo picha aliyoinama kimgongo kukirudisha kwa nyuma ametoka mtamuu. Hasa hizo lips so sweet for denda and mike performance ......![]()
natural
![]()
Kiukweli kuna wazungu ambao ni wazuri wa sura pia bila mekapu ila uzuri wa kiafrika ni mzuri zaidi. Mie naona hizo mekapu wameleta wazungu ili kutuma ribs ngozi tuu maana kama issue ni mekapu basi tupake ile ya kimasai inaitwa sijui loshoroo sijui loshoo iko ya unga hivi mlainii kama udongo. Wakati tunasoma sekondari huko mabwenini tuliupaka sana. Walau huo hauna madhara kama hayo maunga yao
Kwanza sijui hata kama kuna mrembo yeyote anayetumia hizo mekapu huwa anasoma au kutaka kujua hizo mekapu zimetengenezwa na kitu gani yaani ingredients. ....
Hiyo picha aliyoinama kimgongo kukirudisha kwa nyuma ametoka mtamuu. Hasa hizo lips so sweet for denda and mike performance ......
Aiseeh.... so they beat around the bush....Wazungu wanatisha sana katika maswala ya utafiti, wameshapita kwenye makabila yote na kujifundisha hizo make ups za makabila mbalimbali......
Big cosmetic companies kama procter & gamble, l'oreal, uniliver, johnson johnson etc wamesha tengeneza fedha ya kutosha hata ku sponsor researches on new cosmetics.....kwahiyo wanampa mtu fedha anaenda umasaini anaishi nao miaka kumi kama mjinga aki study applications za mitishamba yao kwa ngozi na kwenda kutest kwenye maabara zao na kuunda new products well perfumed, package za maana....marketing ya hali ya juu ...na kumake more money