Ghetto Diva
Member
- Nov 30, 2011
- 7
- 2
Hivi Wanadada wetu Wa bongo(wasanii) mbona hawajawahi kufanya colabo? Najaribu ku-recall nimegundua kwamba hamna nyimbo ya mastaa Wa kike bongo waliofanya colabo mf. Ray c na jdee.. Hivi tatizo liko wapi hasa?
Unique dadaz na sister p
Unique dadaz na sister p
Linah na bob junia.
Acha zako ebu pandisha mlege..