D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,468 Feb 18, 2017 #21 Sky Eclat said: Ni ajabu hiyo ya kwako mkuu, wanasema mara nyingi akili ya wanawake hukomaa mapema, labda ni shinikizo la mashost zake. Click to expand... Kwakuwa ndugu zake siwafahamu....utasikia nmefiwa na mtu wa karibu sana..hapo bili inajisomea karibu laki 3. Kuna wadada wengne wamelaaniwa nahisi.
Sky Eclat said: Ni ajabu hiyo ya kwako mkuu, wanasema mara nyingi akili ya wanawake hukomaa mapema, labda ni shinikizo la mashost zake. Click to expand... Kwakuwa ndugu zake siwafahamu....utasikia nmefiwa na mtu wa karibu sana..hapo bili inajisomea karibu laki 3. Kuna wadada wengne wamelaaniwa nahisi.