Ni ajabu hiyo ya kwako mkuu, wanasema mara nyingi akili ya wanawake hukomaa mapema, labda ni shinikizo la mashost zake.Punguzeni kuomba omba ovyo....si muende Dodoma mkaongezee idadi ya omba omba...wangu ilifika kipindi anasingizia amefiwa nimemtumie pesa baadae rafikize wananijuza kwamba walikuwa club, anajua mm siendagi club kwahiyo akipiga mizinga anakwenda zake club kujiachia....nikamwona ni utoto unamsumbua japo kanizidi miaka 4.....nimejiweka pembeni niepushe msongamano!......siwezi gombana na waendesha Prado mjini
Mkuu ujana maji ya moto, vijana wengi hawamudu gharama za viwanja maeneo ya karibu, na kuhamia Maili Moja mtu anaona kama anapotea.Na hapo ndipo tunapokosea!,na hiyo ni jinsia zote,tunafanya matanuzi sana na kujisahau,kwa maisha ya mjini hapa kipanda cha kulala muhimu mno!,bora uhangaike na pesa ya kula kuliko kuhangaikia sehemu ya kulala..
Kuish kwenye nyumba ya kupanga sinza wanadhan watajenga sinzaMkuu ujana maji ya moto, vijana wengi hawamudu gharama za viwanja maeneo ya karibu, na kuhamia Maili Moja mtu anaona kama anapotea.
Mkuu kuna waliotangulia kule, wanadai ulipie kodi ya mtaa wa Ambiance kabla hujaanza kazi.
Hee!! Hivi hata Ambiance kuna kodi ya kujipanga barabarani? Mbona wanapigwa tu na baridi kodi ya nini sasa?Mkuu kuna waliotangulia kule, wanadai ulipie kodi ya mtaa wa Ambiance kabla hujaanza kazi.