babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,112
- 16,020
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.