- Thread starter
- #21
Ungekuwa kwenye hii tasnia ungeelewa nasema nini najitahidi sana kujicontrol ila wapi lazima nikale mzgoUmekiruhusu kichwa cha chini kiwe ndo director wako,kila la heri.
Ungekuwa kwenye hii tasnia ungeelewa nasema nini najitahidi sana kujicontrol ila wapi lazima nikale mzgoUmekiruhusu kichwa cha chini kiwe ndo director wako,kila la heri.
Umenena vyema, ila kutafuta video hizo itakuwa ngumu maana zinaogopesha ila haikufanyi ukaacha kugegenda, we unafikiri wanaopata ukimwi kwa sababu ya ngono hawakuwa wakijua?? Hii starehe sijui ipoje yaani, ni kama kifo kila mtu anajua atakufa ila hatujui siku wala saaKuacha ni ngumu sana maana nina experience na hizo mambo. Fanya yafuatayo; tafuta video/movie inayoonesha hali za wagonjwa waathirika wa UKIMWI uwe nazo kwenye simu na nyumbani. Usiwe na hela loose nyingi mkononi hasa nyakati za jioni jioni.Nunua condoms uwe nazo nazo muda wote. Matumizi: Kila ukiwaza kwenda huko, angalia japo kwa dakika tatu tuu hiyo clip ya waathirika kabla ya kwenda kununua dada poa. Ukizidiwa sana vaa condom ujichue. Mara kwa mara tembelea hospital kubwa wodi ya wagonjwa wa TB iliyosababishwa na ukimwi. Tafuta mpenzi asiyependa makuu kwa kipindi hiki ukiwa katika recoverying period. Usikimbilie ku oa maana hata kama ukioa hauwezi kuacha ghafla kwasababu hiyo tayari ni adiction na inawezakupelekea ukaachana na mkeo siku akigundua.
Mapepo gani hayo mkuu yaombewe??Ushanyaka mapepo
OaUngekuwa kwenye hii tasnia ungeelewa nasema nini najitahidi sana kujicontrol ila wapi lazima nikale mzgo
Pepo la ngonoMapepo gani hayo mkuu yaombewe??
Hapo labda msaada wa maombi sasa unahitajika. Ngoja watu wa Mungu waje.Umenena vyema, ila kutafuta video hizo itakuwa ngumu maana zinaogopesha ila haikufanyi ukaacha kugegenda, we unafikiri wanaopata ukimwi kwa sababu ya ngono hawakuwa wakijua?? Hii starehe sijui ipoje yaani, ni kama kifo kila mtu anajua atakufa ila hatujui siku wala saa
Baada ya kuanza mwaka nilijiwekea malengo ya kuachana na mademu zangu wote kwani walikuwa washakuwa majipu makubwa sana kwa gharama walizokuwa wanatafuna na uwekezaji wangu ukahamia kwa madada poa na mambo yangu ya msingi, huduma ya madada poa ni tamu asikuambie mtu na gharama zako zinakuwa fixed ila sasa kinachotokea sasa naona kama ninaanza kulowea huko kabisa, naweza nikaa ofisini nawaza nitoke niende kula mzgo, nikipata wazo la ngono tu kdgo napata msukumo wa ajabu wa kwenda kutafuna mzgo Na lazima niende, naweza nikawa nimelala nikashtuka saa nane /saba nikawasha gari nikaenda kutafuta dada poa, haya maisha ya kukaa na madada poa yananitesa kwa sasa na pia kwa sasa siwaamimi tena wadada wa mtaani wengi kwani wengi ninawakuta kwenye viwanja vya madada poa hta wale niliokuwa nawaamini ofisini kuna mda nawakuta viwanja hadi nashangaa hawa wadada siku jizi wamekuaje, au ndo wote wanajiuza??
Kama umewahi kupata addiction ya madada poa naomba kujua njia za kujinasua huku wakuuu
kulaa tuu babuu hakuna shida,,,,wasugue mpaka walieBaada ya kuanza mwaka nilijiwekea malengo ya kuachana na mademu zangu wote kwani walikuwa washakuwa majipu makubwa sana kwa gharama walizokuwa wanatafuna na uwekezaji wangu ukahamia kwa madada poa na mambo yangu ya msingi, huduma ya madada poa ni tamu asikuambie mtu na gharama zako zinakuwa fixed ila sasa kinachotokea sasa naona kama ninaanza kulowea huko kabisa, naweza nikaa ofisini nawaza nitoke niende kula mzgo, nikipata wazo la ngono tu kdgo napata msukumo wa ajabu wa kwenda kutafuna mzgo Na lazima niende, naweza nikawa nimelala nikashtuka saa nane /saba nikawasha gari nikaenda kutafuta dada poa, haya maisha ya kukaa na madada poa yananitesa kwa sasa na pia kwa sasa siwaamimi tena wadada wa mtaani wengi kwani wengi ninawakuta kwenye viwanja vya madada poa hta wale niliokuwa nawaamini ofisini kuna mda nawakuta viwanja hadi nashangaa hawa wadada siku jizi wamekuaje, au ndo wote wanajiuza??
Kama umewahi kupata addiction ya madada poa naomba kujua njia za kujinasua huku wakuuu
kiukweli wako vizuri na wako flexible kwa staili yoyoteDuh, we jamaa utafikiri unanisemea kwa niaba. Hao dada poa hawana gharama kama kuwa na hawala, halafu ni safe kwani huwa hawakubali bila ndomu tofauti na wa kitaa ambao ukitumia ndomu wanachukia.