Madada poa sasa waitwa "wahamiaji haramu"

Madada poa sasa waitwa "wahamiaji haramu"

Watu mko vzuri aiseee mweee kukaa kote Dar sijui hawa watu wanapatikana wapi na vipi nawala sitaki kujua.

Hapa nilipo kuna wadada huwa kila siku usiku ndio wanatoka ,aiseeee wazuri haoooo balaaa.
We bwege kupitiliza. Topic tamu kama hii unailetea uhuni ? Kama hujabalehe usisome haya mambo ya dada utamu
 
Walitwa vyangudoa,dada poa,mipanya,mi fisi,mipanya buku, wadudu ila 2018 wamepewa jina la "wahamiai haramu"

Nazungunzia wale Dada zetu wanaotusaidia kupunguza ugumu..wanaopatikana almost kila mtaa wa sinza na hasa ile mitaa kona bar,..mori na kwa LA chazii.

Kariaoo mitaa ya keys hotel, temeke sugar ray bar zamani..now kisumo,Tabata bar zote mpya mpya wapo tegeta wakumwaga. .kifupi wametapakaaa.. na jina lao jipya ni Wahamiaji haramu.
UKO VIZURI JAMAA
 
Usiseme DUH....wanaume wote humu ndani tumeshawa kupona kwa hawa wadudu....sorry WAHAMIAJI HARAMM. kuna wale watoto wa mama wanaojificha ndani ya sketi za mama zao watasema hawajawahi ku duu na wahamiaji haram. Tunawaita PRETENDERS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom