Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Kuna women waliojianika hadharani wakijiuza,kuna ambao wapo makwao au wameolewa still wanafanya underground commercial sex wengine wana kazi ila hawaridhiki they thnk kuwa na men ni ajira binafsi mie huwa nacheka2!
 
nyie wanawake wa jf mnataka kupewa pesa uzuri mnao!? wanawake wazuri huwezi kuwakuta jf...wapo busy wanatolewa out na vidume vyenye pesa mnaowatamani nyie. so stay kwa level yenu ya kina mzabzab wa jf mtulie...kama u havent been blessed with luks basi kubali yaishe..sio kusemawanaume kizuri chatunzwa...tunajua ila je wee mzuri mpaka mwanaume akuhonge mapesa yote hayo

umeua!
A nail right on their lazy heads!
 
Yani wakaka wa siku hizi pesa kumpa mwanamke mmeona dhambi kweli muhudumie mpenzio sio ukiona vimependeza ndio wasifia, halafu tatizo wengi wenu mnatongoza kwa pesa sasa nikikubali halafu baadae nikianza kukupa majukumu unakuja kulia lia JF
 
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua nimemuharibia maisha.
Ukishashtukia hili utamuvu kutoka stage hiyo ya mapenzi kwenda next... Mapenzi ni safari...
 
Usitokwe na povu bure. Ulipoamua kumgeuza MKE kabla haujamuoa ni nini? Umempa majukumu ya mke lazima umuhudumie. Vinginevyo kila mtu afanye yake. Period!
 
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua nimemuharibia maisha.
Umemjibu vizuri sana, inatakiwa uiingie mfukoni ujitoe hasa kama kweli ni mchumba wako na unaona kuna future,otherwise utahudumia wangapi?Upo sahihi wewe mtose tu
 
pole kwa kupigwa mizinga mkuu, siku nyingine upate akili kuna wanawake wasiohitaji hayo mafweza yako, wanataka mapenzi tu. wa kwangu kwa mfano.
 
Back
Top Bottom