Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Kwa nn hawa dada zetu
ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama
wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na
umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi
sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa
mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon
kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa
hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya
kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu
wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo
vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab
nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then
mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua
nimemuharibia maisha.
jashmoe32 povu linakutoka hayo mambo ya starehe bana na starehe zina watu wake kama unaona ghalama tumia sabuni au lotion kijichua hatatumia sent moja
 
kijana unalalamika nini...its all abt uchaguzi wako...kama wa style hiyo huwapendi then dnt associate na wanawake wa namna hiyo bana...kwanza hao sio wakuweka ndani ni wakuwagegeda na wamejiweka kugegedwa gegedwa tuu.
 
kweli matola yaani kumnunulia mpenzi wake juice ya ukwaju mara mbili tu mtu anakuja kuanzisha thread humu
Yaani mimi wanaume wa humu JF wananikera sana, wakiombwa hela tu wanakuja kulalamika JF, Hivi humu kuna wanaume au wte tumo wanawake. au Jamii Forum imejaa wanaume maskini wote ambao hawana ramani wapo wapo tu hata kula yao ni shida kwa hiyo kuombwa hela anateseka sana rohoni mwake maana anawaza ataipata wapi? Hebu tafuteni pesa acheni kulia lia kama watoto. Loh Mwanaume unatakiwa umtunzi mpenzi wako ili upate sifa na akupende, Sio kujisifia tu demu wangu mzuri huku hujui hata gharama yake ndo maana kila siku mnalia kanisaliti, acha wanaojua kutunza wafaidi
 
Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.

Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.
This is it my brother, yaani l am very proud for being ur sister maana wanaume wanaejua majukumu na wasolalamika ni adimu sana siku hizi.

We mpanga lkn? Umenichunia mpaka basi hadi najihisi nimekukosea vile.
 
Na dume kweli la kinyamwezi!

Uliza my dada Kaunga!

Mimi siku zote najivunia kaka zangu, huwezii kaa sikia mnyamwezi analilia eti sijui mdada anamgeuza ATM au sijui mdada amezidi katika kudai mambo ya chumbani, maana shughuli nzito kaka zangu mko juu.
Mnisamehe kama nitawajazia PMs lkn ukweli lazima usemwe.
Cc Sikonge, KIKUNGU, The Boss, ITEGAMATWI na wengine wengi tu.
 
Last edited by a moderator:
This is it my brother, yaani l am very proud for being ur sister maana wanaume wanaejua majukumu na wasolalamika ni adimu sana siku hizi.

We mpanga lkn? Umenichunia mpaka basi hadi najihisi nimekukosea vile.

Ene mpanga woo !!Sis sijakuchunia dah majukumu si unajua tena..!!

Monday nitaback kutoka huku nitakupigia my real sis!!
 
"Kama kusingekuwa na wanawake hapa duniani, basi mapesa yote haya yasingekuwa na maana." aliwahi kusema Aristotle Onasis. Aristotle ni tajiri wa meli toka Ugiriki aliyekuwa akiishi Marikani. Onasis alikuwa akipenda sana wanawake warembo. Baadhi ya warembo aliowahi kutoka nao ni Merlyn Rose mwanamke aliyepata kiitikisa Hollywood kwa uzuri na Jackie Kennedy mke wa JF Kennedy aliyewahi kuwa rais wa Marikani. For sure hata me uwa sioni sababu ya kuwa na hela alafu hkn mwanamke mkubwa wa kuzitumbua. Nyie msiopenda kuhudumia wanawake wenu basi either hamuwapendi kwa dhati au hamna kitu lkn mnang'ang'ania wanawake. Tuachieni wenye meno tutafune
Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.

Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.
 
Hhhehheh mana kunawatu kazi yao kusifia tu umependeza oh unanukia wakati ye hata mia kutoa hawezi alafu kakazania usinisaliti .
Sasa anadahan wanaoudumia wao wapumbavu eh

Wkwende zao huko, mwanaume anataka kukuona umependeza ila hajui kodi unatoa wapi, hela ya nguo unatoa wapi na hata unakula nini.....tuweni wawazi kabisa Mwanaume asiyetimiza wajibu anakera sana. Usipohudumia nafasi yako utaipoteza akija anayejua kuhudumia
 
Ndo maana wanaishia kuwa nyumba ndogo wao wanafikiri wanaume hawajuhi yupi ana mapenzi ya kweli na yupi wa pesa,kwa vile mzuri atakugonga na pesa akupe ila kamwe hatakuoa make anaelewa ipo siku naye atakuwa hana na utakwenda kumegwa na wengine

Wasichana mnatakiwa kuelewa mabadiliko ya maisha kwamba kuna leo na kuna kesho pia,vinginevyo mtaendelea kuachwa mbaki mnalalama kutumiwa na wahuni na mwishowe unaanza kuwaonea wivu wenzenu waliovumilia na leo wanatesa

Ladies be patients,pray to God everything is possible in life
 
Mwanamke mpiga mizinga mkalie mbali!!.
Let me think about you, then nitakununulia zawadi nitayoona inakufaa and hopefully you will do the same for me.
I hate broke women.
 
Kumghalamia mke/mpenzi asiye na kazi wala siwezi kulalamika hata kidogo ila kutumika kwa mpenzi mwenye kipato kwa kila kitu abadani,wanawake wanadai gender equality ila kuna issue nyingine wanazipotezea Kama kupendwa kwa kumwaga pesa bora nisipendwe, it's just a mindset and poverty, vinginevyo una hiyari ya kuwa buzi, ukitoka na demu wa kijapan ni 50/50 kwa kila kitu.
 

Pesa ndo mpango mzima.
Hata kama mimi ni mpenzi wako King Kong III ndo unigegede bure!
Mshaambiwa wanaume mateso kuhangaika.
Nyie ndio wa kutupa sisi hela,ili nasi tuonekane mjini hapa.
Anipendezeshe mzazi wangu Kinondoni, wewe uje tu kuniparamia Boko.
Hakuna hyo.
Ukitaka kizuri....gharamika.
Hutaki,nenda kijijini kwa wanawake wa bure.
Mjini Noti!!
 
Last edited by a moderator:
Siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.

Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.

Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa M pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka Max malipo ghafla.

Bahelezee Matola yani wavulana kuta kucha kati ya thred 3, moja utakuta mvulana analia kuombwa pesa na mpenziwe.

Ukikuta anapewa na mwingne utalalamika?wakati unamwaproach unategemea nini kichwani kwako?! Mwanaume wa kweli anajivunia na kuona fahari kumtumza mpenziw,. sio unaona nimependeza unasifia tuu hujui vimeundwa?kha am fed up na malalamiko yenu ukitaka usiombwe usitongoze.
 
Last edited by a moderator:
I'm too prideful to hit up anyone for money.

If push comes to shove I'd rather go to a bank and secure me a signature loan or credit card and if that fails then I'd going to a payday loan store before asking anyone to lend me their money.

That's why I'll never understand men or women who hit up their partners for money.
 

hheheeeeee!!usipomuhudumia
wewe mpenzi wake ahudumiwa na nani?
uwe tayari kumegewa mazee!!
 
Back
Top Bottom