Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

na madada wengi wa jf wanapenda hela hao utafikili walizaliwa store room za benk

sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
mtu yeyote mwenye akili timamu anapenda hela mkuu...ndo maana tunajishughulisha
 
Yan wewe ndo mwanaume wewe
Mi nashangaa jimtu linaela ukiomba halitoi wakati ela kaz yake matumiz pumbavu kabisa sasa sijui anatafuta ela ya nn shenzi ya nahasira

Na dume kweli la kinyamwezi!

Uliza my dada Kaunga!
 
Zilaumu genye zako, kama pesa yako inakuuma acha kutongoza. Hakuna atakayekushika kwa nguvu barabarani kukupa bill.
 
Hela kitu gani kama unazo unatoa tu kuna wanaume wengine wanajisifia ohooo na hiki na hiki kwann usitoe sasa
 
Sidhani kama mleta mada anamuongelea "mke"... yaani ndo utajua kiwango cha ugumu wa maisha Tz hii.

Matola wafanana kidogo nami!
Bajeti ya kuhonga ipo monthly, cashier anajua jinsi ya kuitreat kwenye vitabu!

Viumbe watamu kweli hawa!
 
Zilaumu genye zako, kama pesa yako inakuuma acha kutongoza. Hakuna atakayekushika kwa nguvu barabarani kukupa bill.
Naunga mkono hoja. Unajua tatizo la sie vijana wengi ni kupenda matawi ya juu. Penda saizi yako na matawi ya juu waachie vizee na wauza unga period. Akizingatia ushauri huu hataleta tena sredi kama hizi kwani kuku hujasikia hata siku moja kakwamwa na chakula kwa maana hula kulingana na mdomo wake. Wanjinjo tuna usemi kuwa ukitafuna mifupa lazima ukubaliane na jinsi ya kuitoa kwa kabaaang.
 
Siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.

Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.

Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa M pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka Max malipo ghafla.

je kipindi ambapo hazijakutembelea inakuwaje?
 
Zilaumu genye zako, kama pesa yako inakuuma acha kutongoza. Hakuna atakayekushika kwa nguvu barabarani kukupa bill.


Si kweli, hakuna uhusiano kati ya usemacho na mtoa mada. Kama ni hivyo basi ni bora wakajipange pale Cornerr Bar tujue moja kuwa wanatoa huduma kwa hela. Kinachoongelewa hapa ni wapenzi (Lovers) na siyo sexmates.

Tena kuna wengine unakuta wanafanyakazi ya kipato kizuri tu lakini kila saa baby hela ya saloon, sijui simu yangu imekufa nataka Iphone, mara baby duka fulani wameleta nguo mpya. Sasa kama hela zote nipatazo zinaishia kwenye luxuries zake hata kujenga tutajenga kweli? Tutaweza kuanzisha mradi wowote ule wa kijasiriamali au kupata fedha za kusomeshea watoto? Sikatai mwanamke kuniomba hela lakini isiwe mimi ndiyo kama mzazi wake wakati nimemkuta amependeza tu barabarani tena akiwa na kazi yake inayomuingizia kipato kizuri tu.

NAUNGA HOJA MKONO HOJA ILIYOTOLEWA NA MTOA MADA jashmoe32
!
 
Yani Mie nikiombwa 20,000 huyo anataka kuachwa
 
Bandiko langu linajitosheleza wala halihitaji maswali ya nyongeza, mimi siyo product ya Mulugo na Shukuru Kawambwa.

Jaman Walimu tutampata nani mana hata madenti nao wapo kikosi cha mizinga
 
Niliwahi kuwa na binti mmoja hivi anaishi mkoa tofauti na ninaoishi, ukiona kakupigia simu ukipokea atajifanya anakusalimia na vimaswali vingi "kwema?", "Za siku?", "Nimeona uko kimya nikaona nikusalimie". Mkimaliza tu kuongea, kama siku hiyo hiyo basi kesho yake anatuma meseji hana kitu kabisa anaomba hela!!

Jamani inaboa sana
 
Back
Top Bottom