Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

Madada msidhan wanaume hatuna majukumu

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,098
Reaction score
437
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya wazaz wako yawe yangu?ina maana mimi sina ndg wa kuwajal mpaka nikuangaikie wewe.Mnaboa sana masista due njaa mana mtu akikuambia hana kitu unamchukia na akikuambia kwan mwanzon kabla hujawa na mm ilikuaje?anasema usinione kama nna dhiki sana ila kwa hali ilivo ni kama una dhiki
Mnafanya wanaume tusione thaman ya hela yetu na tuone thaman ya kukupendezesha wewe wakat tuna ndugu na jamaa wana shida na tuna wajibu wa kuwasaidia.
Samahan kama nimekukwaza ila nimeongea uhalisia na vitu ambavyo vmentokea na imeniuma sana mana mdada anasema simpend kwa sabab nimeshndwa kumtimizia mahitaj yake na nimemjibu kama mapenz ni hayo then mimi sipo tayari na huko huru kufanya uamuz unaotaka na analaum kua nimemuharibia maisha.
 
Ndo walivyo hao! Pesa mbele kama tai. Ndio maana ndoa nyingi hazidumu siku hizi kwasababu ya mambo ya kizushi kama hayo. Kaza buti songa mbele kijana!
 
Ujue basi ulikua spea tyre ndo mana ukawa option
 
mkuu asante kwa kuwapa ukweli. pamoja na kumfanyia yote akipata mwenye uwezo zaidi anakuacha. niko na hasira nao sana. sitak tena demu wa africa nashariki niko na hasira nao sana. bora nioe rangi nyingine.wazushi awa maslah mbele
 
Hivi kama umedate na mwanamke ambae hana kazi unatarajia nini?

Au unataka anunuliwe pichu na rafiki yako?

Kuna wengine hizo huduma za kununuliwa nguo na wazazi wao hawazipati, zaidi ya kulipiwa ada tu, tena na ada yenyewe inalipwa kwa mbinde.

Na akibahatika kupata kidume kama wewe anaona kama zali la mentali na hapo ndipo huamua kukuvisha majukumu ya babaye.
 
Inatakiwa kumhudimia bibie, kadri uwezavyo ila tu asiwe anaforce kupewa kitu flani ambapo kwa dhahiri kipo nje ya uwezo wako.
 
Hivi kama umedate na mwanamke ambae hana kazi unatarajia nini?

Au unataka anunuliwe pichu na rafiki yako?

Kuna wengine hizo huduma za kununuliwa nguo na wazazi wao hawazipati, zaidi ya kulipiwa ada tu, tena na ada yenyewe inalipwa kwa mbinde.

Na akibahatika kupata kidume kama wewe anaona kama zali la mentali na hapo ndipo huamua kukuvisha majukumu ya babaye.

Embu waambie hao sio ubaili umejaa unataka mwanaume mwenzio audumie au
 
Embu waambie hao sio ubaili umejaa unataka mwanaume mwenzio audumie au

hawajui kuwa sifa kuu ya mume ni kumtunza mke......!!!!!!!!!

Na wakae wakijua wasipo hudumia wapenzi wao, wajue kuwa kuna wenzao wanao wahudumia
 
Hhhehheh mana kunawatu kazi yao kusifia tu umependeza oh unanukia wakati ye hata mia kutoa hawezi alafu kakazania usinisaliti .
Sasa anadahan wanaoudumia wao wapumbavu eh
 
Hhhehheh mana kunawatu kazi yao kusifia tu umependeza oh unanukia wakati ye hata mia kutoa hawezi alafu kakazania usinisaliti .
Sasa anadahan wanaoudumia wao wapumbavu eh

hahahaaa kazi kusifia ''mpenzi wangu we mrembo kweli na unazidi kunawili''
wakati waume wenzie wanamrembesha na kumnawilisha ye kazi kutamani tu!!!!!!!!

Mwambie aende akaishi kule kijijini ambapo msichana kuoga kwa mwaka ni mara 1 tena sikukuu ya mwaka mpya hao hawajui mafuta, pafyum wala pamba.........!!!!!!!! Full kujibwedea bila gharama bt avumilie tu natural smell iliyooza!
 
Kati ya majukumu niliyonayo na kucare Wadada limo na Ndio matumizi ya pesa.

Ingekua sio na Wadada nisingetafuta pesa hivi.

Yan wewe ndo mwanaume wewe
Mi nashangaa jimtu linaela ukiomba halitoi wakati ela kaz yake matumiz pumbavu kabisa sasa sijui anatafuta ela ya nn shenzi ya nahasira
 
hawajui kuwa sifa kuu ya mume ni kumtunza mke......!!!!!!!!!

Na wakae wakijua wasipo hudumia wapenzi wao, wajue kuwa kuna wenzao wanao wahudumia

Sidhani kama mleta mada anamuongelea "mke"... yaani ndo utajua kiwango cha ugumu wa maisha Tz hii.
 
Tatizo la jf wanaume wengi mabahiliiiii
Siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.

Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.

Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa M pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka Max malipo ghafla.
 
siyo mabahiri bali wamepigika, tofautisha ubahiri na poverty.

Mwanaume yeyote kamili mwenye pesa ambayo si ya mawazo kuhonga na kumuhudumia demu ni sehemu ya ibada.

Mimi minoti ikikoseaga njia huwa nawatumia kwa m pesa hata wale zilipendwa, huwa nageuka max malipo ghafla.
kweli matola yaani kumnunulia mpenzi wake juice ya ukwaju mara mbili tu mtu anakuja kuanzisha thread humu
 
Back
Top Bottom