Mada ya vilevi vingine

Mada ya vilevi vingine

Hapo kwenye ubuyu wa pilipili ushanijaza mate ya uchu kinywani mwangu ujue..

Hapa nishalumbua ndizi mbili, muuza ice cream wa bakhresa kapita kanilingishia kuna mpya za tikiti nikaruka nayo moja! Nimegida na juice ya parachichi! Naona dunia inaniendea sawa sawia tu.
Yummy,
Halafu hizo icecream za tikiti nimeziona jana itabidi nionje,
Ni tamu? Zina ladha kama ya tikiti kweli?
20200312_192742.jpeg
 
Back
Top Bottom