Naona siyo sahihi kwa namna yeyote ile,kwa sababu nikukosa uhuru wa kifamilia(familia ya mke na mume)..na pia patakuwa na utumwa kwa mmoja wenu(mke au mume),na mmoja wenu atashindwa kuonya au kusema chochote atachoona hakiendi sawa kwa kuhofia kuonekana mbaya..
kwa hiyo ndiyo kusema SIYO SAHIHI HATA KIDOGO...