Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,794
- 165,533
Waambie nawatahadharisha wasijaribu wasirogwe kuifunga.Hii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e
Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.
Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii na kwakweli siekewi.
Hivi ilikuaje had ukaweka star tv ? Me hata nkiwa nachagua chanel nairuka, sitakag hata kujua wanachoonesha, yan mm na makada wa lumumba hatuchangamanagi kabsa, hilo limada wajibu makada wenzao, kwanza ikifungwa mitandao wao ndo wataumia coz wanapenda kutafuta attention kwenye mediaHii ndio mada inayojadiliwa star tv muda huu katika kipindi cha "tuongee asubuhi" na iko katika mtindo wa swali.e
Kipindi ndio kinaanza hivyo mwenye kupenda kufuatilia afuatilie.
Binafsi najiuliza ni nini kiko nyuma ya mada hii au nini kimewasukuma kuja na mada ya aina ya aina hii kwakweli sielewi.
unafanya nini sasa hapa... si usiingie uanze kujitoa wewe... kweli vibalaka wa lumumba mna kazi.. shwaniwafunge tu..! haiwezekani nchi iongozwe na vijipost vya Muuza K Marekani Mange kinembe
Kweli mkoloni hakukosea kutojenga shule usukumani wakati wa utawala wake sasa tumejua!Hao wasukuma wamekosa mada ya kujadili?
kama wa mange? jasiri ni jasiri tu.Acha vitisho toa hoja,Wasifunge ila hizi fake I'd ziondolewe zinatupa ujasiri fake.Ukijilipua uwe umejipanga sawa sawa.
Vibalaka ndio nini wewe bakunja ...kazi kutuharibia kiswahili chetu nyie watu wa Congo mna shida sana, next time andika sawa sawa ni VIBARAKA with R not L .unafanya nini sasa hapa... si usiingie uanze kujitoa wewe... kweli vibalaka wa lumumba mna kazi.. shwani
Jasiri huwa hakimbii,hupambana,zingatia yale majina yake ya kibantu hata kujizungulaiz hawezi mwambieni aje asimame aonekane na makofi tumpigie.Zaidi ya hapo ni majungu tu.kama wa mange? jasiri ni jasiri tu.