Mada: Sekeseke Bungeni - StarTv

yahaya hussein ndio alikimudu hiki kipindi,hawa watanagaji wanaokota watu stand na kuwapeleke studio...poor kabisa
 
Last edited by a moderator:

Hapo saut kuna vijana wako vizuri sana,mfano ikuwepo jamaa anaitwa Rashid,na yule Mwandishi Odero kama sijakosea,pia kuna jamaa sijui alikuwa sauti pia maana sijui yuko wapi siku hizi bonge bonge hivi black anavaa miwani,pia yupo jamaa mmoja ni mwl pia ni mwanasheria somebody mwita jamaa huwa ni shida hao jamaa huwa very smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…