nelly nashon JF-Expert Member Jan 7, 2015 242 521 Jan 6, 2017 #1 Hii imenisikitisha sana, ndoo najipanga na notebook yangu ghafla matangazo yamekata..au ni startimes pekee?
Hii imenisikitisha sana, ndoo najipanga na notebook yangu ghafla matangazo yamekata..au ni startimes pekee?
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,859 Jan 6, 2017 #2 Hata kwangu wamekata,Huu ni zaidi ya uoga aisee!
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Dec 22, 2013 4,160 3,368 Jan 6, 2017 #4 Ni noma sana, mim natumia king'amuzi cha azam ila ndo sijalipia mwezi wa pili huu.
ujoka JF-Expert Member Nov 27, 2014 4,782 11,269 Jan 6, 2017 #5 Kibo10 said: Hata kwangu wamekata,Huu ni zaidi ya uoga aisee! Click to expand... Hata uku vikindu asee
Kibo10 said: Hata kwangu wamekata,Huu ni zaidi ya uoga aisee! Click to expand... Hata uku vikindu asee
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 63,552 111,320 Jan 6, 2017 #17 king'amuzi cha startimes channel 10 imekata. Kuna mdau alitahadharisha kwamba jamaa watakata mitambo na kweli imetokea!!!!!!!
king'amuzi cha startimes channel 10 imekata. Kuna mdau alitahadharisha kwamba jamaa watakata mitambo na kweli imetokea!!!!!!!
Erythrocyte JF-Expert Member Nov 6, 2012 127,901 244,470 Jan 6, 2017 #18 CCM ni waoga sana ! Nape acha kuwatisha startimes .
sinajinasasa JF-Expert Member Dec 10, 2013 2,988 4,152 Jan 6, 2017 #20 Mbona ipo hewani, kupitia DSTV...unatumia nini startimes nini