fasepa man Member Joined Jul 24, 2018 Posts 10 Reaction score 7 Aug 8, 2018 #1 Kwanini mwanamke akiambiwa yuko makin like kidume anajiskia fahari tufauti na mwanaume kuambiwa ana mambo ya kike?
Kwanini mwanamke akiambiwa yuko makin like kidume anajiskia fahari tufauti na mwanaume kuambiwa ana mambo ya kike?
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,190 Reaction score 34,527 Aug 8, 2018 #2 Uwe mwanaume uambiwe una mambo za kike unaanzaje kuchekelea??? Assume vile mwanamke hua halaf ndio unaambiwa una habar ka hizo
Uwe mwanaume uambiwe una mambo za kike unaanzaje kuchekelea??? Assume vile mwanamke hua halaf ndio unaambiwa una habar ka hizo
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,639 Reaction score 220,421 Aug 8, 2018 #3 Kwanini mwanaume akiambiwa ana msambwanda anakasirika?
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,704 Reaction score 45,490 Aug 8, 2018 #4 Aiseee, mada nyingine baaana!