fasepa man Member Joined Jul 24, 2018 Posts 10 Reaction score 7 Aug 8, 2018 #1 Kwanini mwanamke akiambiwa yuko makin like kidume anajiskia fahari tufauti na mwanaume kuambiwa ana mambo ya kike?
Kwanini mwanamke akiambiwa yuko makin like kidume anajiskia fahari tufauti na mwanaume kuambiwa ana mambo ya kike?
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Aug 8, 2018 #2 Uwe mwanaume uambiwe una mambo za kike unaanzaje kuchekelea??? Assume vile mwanamke hua halaf ndio unaambiwa una habar ka hizo
Uwe mwanaume uambiwe una mambo za kike unaanzaje kuchekelea??? Assume vile mwanamke hua halaf ndio unaambiwa una habar ka hizo
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Aug 8, 2018 #3 Kwanini mwanaume akiambiwa ana msambwanda anakasirika?
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,944 Reaction score 43,358 Aug 8, 2018 #4 Aiseee, mada nyingine baaana!