Mada maugo: Nagombea ubunge rorya, 2015

Mada maugo: Nagombea ubunge rorya, 2015

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Bondia Mada Maugo ametangaza rasmi kuwa atagombea ubunge jimbo la Rorya mwaka huu. Mada amesema hayo leo mchana alipokuwa anazungumzia pambano lake la Ngumi dhidi ya bondia hatari hapa nchini Karama Nyilawila.
Maugo ametangaza kumpa kichapo kibaya mpinzani wake na hatimaye kumuua kwa ngumi.
Hata hivyo hajaeleza atagombea kupitia chama gani.
Source: ITV.
HISIA ZANGU: MAUGO anaweza kugombea kupitia CHADEMA kwakuwa hiki ni chama kinachotoa fursa kwa watu wa kada zote.
 
Chadema ni.kimbilio la wahuni na wavuta bange
 
Chadema ni.kimbilio la wahuni na wavuta bange

Bora ya wavuta bangi wa chadema ambao wanaweza kemea maovu kama ya ufisadi kuliko maprofesa wa ccm ambao wako kama kondoo wa kafara, wanaona maovu ila hawakemei. Maugo go ahead na mambania unachokiamini, we will support you brother
 
Back
Top Bottom