Mada maalumu ya wazinzi

Una uhakika hii mada inahisiana na WAZINZI 🤣
Swali zuri na lenye lengo sahihi.
Tunajua rushwa ipo, sasa ni kuikabili. Kwanza kila mtendaji au afisa wa serikali awape wananchi taarifa juu ya kusudio la kuanzishwa mradi na hata asipofanya hivyo kila mwananchi afuatilie kupata taarifa zaidi za miradi
 
Ila Binadamu.
Ivi watu ,kwa hiyo mali zenu siku hizi zipo.DM 🤣🤣🙌
Piga pesa wajinga wa JF. Hata mi nilikuwaga na ID ya kike humu. Niliwapiga kishenzi hawa malimbukeni wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…