Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Now kupo vizuri balaa! Nikitoka hapa naelekea King'ole club kigogo luhanga
Nmekja kumcheki jamaa yangu yule aliyeingia mtaroni naona anaendelea vzuri
Na kabia kamoja anapiga

Ova
20181015_182801.jpg
20181015_172324.jpg
 
Hii bar kama sio wewe nisingepajua hapa Njia ya Kendall lung an Zola pazuri sana mkuu. Jf ni kila kitu alafu kuna muhudumu ananihudumia ni nzuri sana sema nimekuja na familia hata kutania nashidwa
Ahahahahaha
 
Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Napendekeza kuwepo na utaratibu wa kupeana deals au Ajiira ...be it temporal or permenent tukisha pga mitungi sabab sio wote tunalewa sababu ya furaha sometimes ni stress za unemployment
 
Back
Top Bottom