Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mjomba wenu napigia monde/vyombo kwenye kilabu ambacho hakina hata sakafu wala nini. Hapa Mimi ndio Star it feels good kukaa na wajinga I fell like genius.
Ukiagiza balimi kila mtu anakushangaa hapa sababu pombe wanazokunywa ni za jero jero...inanifanya naonekana kama Billget kisa nimeagiza Balimi.View attachment 863113
Kweli mkuu hiko kilabu, Kama balimi wewe Don
 
TAHADHARI
Jikagueni Walevi kabla hamajarudi home
IMG-20180911-WA0062.jpg
 
Si unaona mzawa hata sakafu hamna! maisha hayajawahi kuwa magumu hata siku moja ni sisitu ndio vichwa ngumu. Siku nikija na Dompo nawachukulia watu wake zao mchana kweupeee hapa kilabuni.
Unaweza ukashangaa unaletewa hata chakula kutoka nyumbni ila tatizo la kilabu utakuta mwanamke mmoja wa wote na pia mmoja akianza tb wote maana wanashea gilasi na kilabuni hewa ndogo
 
Unaweza ukashangaa unaletewa hata chakula kutoka nyumbni ila tatizo la kilabu utakuta mwanamke mmoja wa wote na pia mmoja akianza tb wote maana wanashea gilasi na kilabuni hewa ndogo
Hivyo ni vilabu vya Iringa hapa nilipo vilabu ni classy na clean mno. Mademu ni wakutosha na wote ni wa kienyeji... Ndio wanaonileta hapa kwa uumini wangu wa bidhaa za kienyeji. Situmii glasi natandika tarumbeta mwanzo mwenga.
 
mimi nikiwa na pochi nene naanzaga na JD,pochi likianza kusinyaa nashuka kwa yohana mtembezi(lebo nyekundu,nyeusi nitaiwezea wapi),mambo yanapoendelea kukaza nashuka kwa vladimir vodka...hali ikiwa tata katika levo ya mwisho nadondoka na ngumu kumesa(bapa)
sinywagi bia,..you know why?naweza kunywa hata 20.,sababu nyingine bia inajaza mipovu tumboni
shout it out to whoever muasisi wa utengenezaji pombe(iwe ya kienyeji au ya kigeni)
cheers
 
Back
Top Bottom