Mada maalumu ya single mama"mishangazi" na ,single baba.

Hata ivyo niwape pole single mama wote popote walipo.
Haijalishi penzi limekushinda,, baba kakimbia, umefiwa na baba mtoto haijalishi songa mbele hizi ni kelele tu ambazo hazikuathiri chochote.
Na pia niwaambie tu wasichana kuwa single mama si dhambi,, usikose ujasili wa kuweka vigezo vyako , kutimiza ndoto zako na kufanya mengi mazuri.
Na usikubali kukaa na mwanaume ambae unajua kuwa huyu hakufai na Hana sifa kisa tu wewe ni single mama.
Na hizi kelele zinazopigwa humu ni kwa sababu nyie ni hot cake!!! Maana huku uraini dada yenu nikienda kwenye kamati za sherehe za ndoa asilimia kubwa wanaoolewa ni single mama.
Kwa mara ya kwanza nimeona comment yako

Huwa ni wa ku "thank you"
Ulikolala ni pazuri
"Sema umeshauri kibabe"
 
Hakuna sehemu nimepigia debe au kusema ni jambo nzuri.
Sijampa mtu go ahead ya kuwa single au vyovyote.
Halafu kabla hujajua status yangu kawahubirie dada zako, shangazi, mama zako katika familia yako na ukoo wako.
Punguza hasira. Aliekuzalisha na kukuacha sio mimi. Offcourse haujaamasisha direct, isipokua umeamasisha indirectly, kwa ulichokiandika binti mdogo akikisoma au akiambiwa hawezi kuona tatizo la single motherhood na athari zake kwenye ustawi wa jamii. Badala yake ataona ni sifa njema.

Epidemic of single mothers and fatherless kids huku mtaani inatakiwa kupingwa na moja ya njia ni kuwaeleza vijana na mabinti athari zake kwenye ustawi wa jamii.

Kwa masilahi ya vizazivijavyo, single mothers kubalini kuwajibika kama sehemu ya tatizo. Hii mbinu mnayotumia kujifariji na kupotosha wanawake na mabinti wadogo ili ku-recruit single mothers wengi zaidi haina afya kwa mustakabali wa jamii yetu
 
Ulishaona kiki kuita watu single Maza oops!!!! Naweza kubishana na wewe kumbe hata hadhi ya kujibiwa na Mimi huna.
 
Hakuna kiki yoyote ninayoitafuta kutoka kwako. Tayari mimi ni famous kwenye hili jukwaa la MMU. Suala la hadhi kielimu na kifedha bila shaka nimekuzidi kila kitu.

Turudi kwenye mada. Single mother epidemic ni janga ambalo linatakiwa kukemewa. Vijana na mabinti waambiwe sio jambo zuri hivyo waliepuke.
 
Kapumzike sasa,,, usisubiri majibu kutoka kwa uliyemzidi kila kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom