The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,024
Kuna sehem nampigania, kazi nyakati hizi zina ugumu sana. Ila Mungu hashindwi.Wakuu pamoja na kula burudani embu tumchekie huyu kijana chance yeyote ya ajira ili kuweza kusukuma na yy gurudumu la maisha :najua walevi tunapendana na kusaidiana kijana huyu amenifata pm mara kadhaa na kuna baadhi ya vigezo angekuwa nazo ningemsaidia so naomba mwenye chance yeyote ya kazi tumsaidie .
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen Mungu akubariki kiongozi mpambanie ili nae aje aenjoy na sisi jukwaani.Be blessedKuna sehem nampigania, kazi nyakati hizi zina ugumu sana. Ila Mungu hashindwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijari mkuu. As a man naelewa unachokipitia. I hope tutafanikiwa.Mkuu nashukuru sana kwa kuguswa na suala langu!
Nachukua nafasi hii pia kuwashukuru wakuu wengine kama The August mrangi Mshana Jr kwa kuwa concerned na hili suala langu la ajira!
Kwa wale niliowajia pm mnisamehe sana kama kwa namna moja ama nyingine nikiwakwaza, ndugu zangu kukosa kazi rasmi huku unategemewa, ni pigo
Naomba sana msaada wenu nifanikishe hili jambo
Cc Mtende, dadaangu naomba pia msaada. Najua wewe ni expert kwenye haya mambo ya HR.
Kweli mkuu, in life i learned kama una nafasi ya kumpasia mtu, mpasie, huwezi jua kesho itakuwa vipi.Amen Mungu akubariki kiongozi mpambanie ili nae aje aenjoy na sisi jukwaani.Be blessed
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru sana kwa moyo wako wa kusaidia watu.Usijari mkuu. As a man naelewa unachokipitia. I hope tutafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio. Vimeundwa hiviAnachezea nguvu ya papa eeh. Mwambie hapa ni mjini watu wanahudumia asione vimependeza white.
Namtafuta Shunie.
Namtafuta Shunie.
Ukimpata mwambie naulizia matokeo ya mechi ya leo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hulali kabisa!?Kumi na moja alfajiri ......bado tunafanya hivi
Ova
View attachment 999688
Sent using Jamii Forums mobile app