Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Achana na magari hayo..utalipaki soon..gari za kijerumani ( Audi, M/Benz, BMW ) zina body ngumu sana ukiona imesimama makini kweli utasema ni mpya kabisa kumbe imeshagonga 600,000km. Oil filter tu lazima uagize Dubai/ SA..utaalam wa kuzitengeneza hapa Tz ni 10% tu. Chukua mjapan ulale usingizi mkuu.
Usidanganye watu mkuu mwaka sasa Audi A4 Avant haijasumbua chochote mwanzo ilikuwa ngumu ila kwa sasa zimejaa na zinaingia kwa kasi dar laiti ukiijua hii gari utajilaumu sana unafanya nn Toyota hadi sasa.Utumiaji wa mafuta ni mdogo sana.Kwanza mkikutana njiani watumiaji wa Audi lazima mnasalimiana kidogo.Kama bado unasumbuka na Toyota ukihamia Audi nakuhakikishia hutatoka huku.Hizi gari ni Maarufu sana South Afrika ukimiliki unaonekana mtu fulani smart pia Mataifa ya Asia na uchina zinauza sana.Nigeria pia soko la Audi ni kubwa hasa vijana wananua sana.South Africa wakiipa gari heshima jua iko vizuri.Jana natazama DW toleo jipya la Audi A4 avant litakupa uwezo wa kutumia Natural gas it means ukiishiwa mafuta unakuwa na mtungi wako nyuma unaunga safari inaendelea.Welcome to the word of luxury car Audi.
 
Kama unataka Europe car ndogo fikilia Audi au BMW Volkswagen soko lake zuri ni la SUV kama Toureg,Turcan hivi ni imara na hazina lawama nyingi na siyo lahisi kukosa spare.Ila kama unania na Europe kama fikilia Audi kabla ya Volkswagen.
Asante Mkuu... Audi A4 ninazikubali sana Mkuu...my choice ilikua A4 v Passat yani zote nazikubali sana...
tatizo naona kama A4 fuel economy yake sio nzuri ndo mana halafu kuna mdau alisema A4=Passat kasoro body tu.
Ndo mana nikawa interested sana na Passat, ila either way my choice ni either A4 ama Passat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye watu mkuu mwaka sasa Audi A4 Avant haijasumbua chochote mwanzo ilikuwa ngumu ila kwa sasa zimejaa na zinaingia kwa kasi dar laiti ukiijua hii gari utajilaumu sana unafanya nn Toyota hadi sasa.Utumiaji wa mafuta ni mdogo sana.Kwanza mkikutana njiani watumiaji wa Audi lazima mnasalimiana kidogo.Kama bado unasumbuka na Toyota ukihamia Audi nakuhakikishia hutatoka huku.Hizi gari ni Maarufu sana South Afrika ukimiliki unaonekana mtu fulani smart pia Mataifa ya Asia na uchina zinauza sana.Nigeria pia soko la Audi ni kubwa hasa vijana wananua sana.South Africa wakiipa gari heshima jua iko vizuri.Jana natazama DW toleo jipya la Audi A4 avant litakupa uwezo wa kutumia Natural gas it means ukiishiwa mafuta unakuwa na mtungi wako nyuma unaunga safari inaendelea.Welcome to the word of luxury car Audi.
Mkuu ni kweli kabisa Nilijaribu Audi A3 hatchback toka siku iyo sikua na hamu na toyota..
acha ile classy fulani ya izo gari..zimetulia sana road hasa ukiwa ktk speed kubwa.

Mkuu em niambie kuhusu fuel economy ya Audi A4 napendelea sedan mimi..naona engine zake ni kuanzia 1.8L kwa petrol..na diesel nyingi naona 2.0TDi...
sasa iyo ya 1.8L Petrol fuel consumption si inakua kubwa sana...mana mimi naangalia sana fuel economy kama moja ya kigezo cha kumiliki gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usidanganye watu mkuu mwaka sasa Audi A4 Avant haijasumbua chochote mwanzo ilikuwa ngumu ila kwa sasa zimejaa na zinaingia kwa kasi dar laiti ukiijua hii gari utajilaumu sana unafanya nn Toyota hadi sasa.Utumiaji wa mafuta ni mdogo sana.Kwanza mkikutana njiani watumiaji wa Audi lazima mnasalimiana kidogo.Kama bado unasumbuka na Toyota ukihamia Audi nakuhakikishia hutatoka huku.Hizi gari ni Maarufu sana South Afrika ukimiliki unaonekana mtu fulani smart pia Mataifa ya Asia na uchina zinauza sana.Nigeria pia soko la Audi ni kubwa hasa vijana wananua sana.South Africa wakiipa gari heshima jua iko vizuri.Jana natazama DW toleo jipya la Audi A4 avant litakupa uwezo wa kutumia Natural gas it means ukiishiwa mafuta unakuwa na mtungi wako nyuma unaunga safari inaendelea.Welcome to the word of luxury car Audi.
Mkuu naomba kujua tofauti ya European cars za kuagiza Japan na zile za Autotrader ama Singapore...kwa mana ya Autotrader na Singapore yanaonekana mazuri halafu kama yanang'aa like brand new ila ya Be forward sio km ya autotrader ama singapore...Sema sasa uko Autotrader magari yao mengi yametembea miles nyingi ambazo ukija kuziconvert kwny KMS unachezea Kms kama laki mbili hivi.
Thanks

Kwanza ni vema ukatumia be forward sababu utakuwa na uhakika wa gari lako kufika sijawahi nunua huko Autotrader so sijui chochote kuhusu wao.Utumiaji wa mafuta kwa Audi ni kawaida sana huwezi linganisha na Allteza,Brevis,Mark x,mark 2,n.k or 2.0 na 1.8 hazina
tofauti kubwa sana.Volkswagen Passat cjawahi endesha au kumiliki mkuu zaidi kuziona tu ila ni chache sana Navyohisi (not sure)so spare hapa nahisi ni za kutafuta (not sure).Usisahau ukichukua Audi iwekee Sport Rm kama haina.
 
Sawa Mkuu ...vp mbona naona BeForward hawana Diesel versions wao nyingi ni za petrol na wanasema Petrol sio nzuri kwa fuel economy??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gar Toyota harrier ya 2006 ..fund wakat anafunga mziki alkorofsha a/c na back camera ukiminya ac aisomi wala haiwaki ?mafund wameangaika kutafuta tatzo wameshndwa gar n mpya na ilkuja kila ktu kilikua saf !! Msaada tatzo itakua n nini? na fund mzuri mbeya kama atapatikana ...
 
Sasa kama kila kitu kilikuwa why ulikorokochoa? Samahani lakini.
 
Gar Toyota harrier ya 2006 ..fund wakat anafunga mziki alkorofsha a/c na back camera ukiminya ac aisomi wala haiwaki ?mafund wameangaika kutafuta tatzo wameshndwa gar n mpya na ilkuja kila ktu kilikua saf !! Msaada tatzo itakua n nini? na fund mzuri mbeya kama atapatikana ...
Please usichokonoe zaidi fanya diagnosis ya kwa mashine
 
Back
Top Bottom