Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

Kila nikiwapigia haipokelewi au inatumiika nifanyeje mkuu
94f51373cb87757c25119c588dddee5d.jpg
test namb hzo especially za Voda utasaidiw
 
Wadau habari za asubuhi!jamani nauliza hivi udom hakuna provision ya kulipa ada(Tution fee)kwa awamu?maana nimesoma maelekezo yao na kama nimeyaelewa wanaelekeza ada yote ilipwe tarehe25.kitu pekee walichogawa kwa semesters ni zile direct cost.naombeni ufafanuzi kwa aliyeelewa vizuri tafadhali.
 
Mkuu ada unalipa kwa semester,yani igawe kwa mbili then lipa nusu semi ya kwanza then iliyobaki semi ya pili
 
Ukienda huko kwenye threads za admission results utona ni jinsi gani wanafunzi wanavyoiota UDOM

Karibuni sana CIVE hasa watakaochaguliwa Bsc in Telecom
Mkuuu sio vizuri kuwakaribisha wenzako kwenye balaa hahahahahaaah lazma prof msele awapige biti la elfu kumi kwanza
 
Hivi inawezekana kuwa ktk multiple admission round ya kwanza na uka comfirm lakini usichaguliwe?
Kwani kuna mwanafunzi jina lake halipo na kwenye list ya walio confirm lakini ali confirm online na pia kwa sms kwa namba walizotoa pia aliandikiwa sms toka chuo udom aka confirm pia na kujibiwa hongera umechaguliwa,
Screenshot_20171017-231834.png
 
Hivi inawezekana kuwa ktk multiple admission round ya kwanza na uka comfirm lakini usichaguliwe?
Kwani kuna mwanafunzi jina lake halipo na kwenye list ya walio confirm lakini ali confirm online na pia kwa sms kwa namba walizotoa pia aliandikiwa sms toka chuo udom aka confirm pia na kujibiwa hongera umechaguliwa, View attachment 611566
Nielekeze jinsi ya ku confirm udom please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom