Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.Mkuu Leo sijaangalia nipe mbili tatu zandre kapewa kichapo na Clive nini??
shobo tuu watu tuna stress zetu tunakuja kurelax kwa uzi wetu huku.. halafu Kaja anaanza kuniletea ligi tena. 😠😠Mkuu
take a chill pill
vipi jamaa kakuchukulia demu wako nini, mbona umekuwa mbogo sana.
najuta kukosa aseeh zandre nae kiherehere chake. yeye kapewa ruhusa amle Seline sio kuingilia issues zao..Kachezea makonde ya kutosha! aliingilia Ugomvi wa Seline na Clive baada ya Seline kuonyesha hasira kwa Clive kwa kutokuwepo kazini wakati Sechaba alipokuwa akimhoji kuhusu ubadhirifu wa fedha uliogunduliwa na wakaguzi.
Si angetulia kimya ili jamaa ashtuke saa anakamatwa kwanini kamuambia Sasa? Akiuawa ujinga wake utakuwa umechangia.daah Clive usimuue Seline tafadhali.. 😠
polisi wanakusubiri nje kumbuka..
nashangaa mkuu Seline angenyamaza tu na kumuacha Clive atoke. akutane na polisi nje..Clive mshenzi Sana! Unamyongaje mtoto mzuri Kama Seline? Japo wanawake bhana...kwani lazima umwambie mtu umemuitia polisi si unatulia tu ashtuke muda anakamatwa.
Seline nae kajichimbia kaburi mwenyewe.. kimya ni jibu angenyamaza tuuSi angetulia kimya ili jamaa ashtuke saa anakamatwa kwanini kamuambia Sasa?
Ila mkuu mapenzi yanaumiza Sana, mtoto wa kike uvumilivu umemshinda kaona jamaa kamuharibia kaamua kumchana sema ndio hivyo kakutana na balaa.nashangaa mkuu Seline angenyamaza tu na kumuacha Clive atoke. akutane na polisi nje..
nahisi Seline anakufa kweli 🤔🤔
kaghotalo nae kalegeza uzi huko..
mapenzi sio mchezo mkuuIla mkuu mapenzi yanaumiza Sana, mtoto wa kike uvumilivu umemshinda kaona jamaa kamuharibia kaamua kumchana sema ndio hivyo kakutana na balaa.
Hapo kwa Kgothalo naona busara za Mzee (Lincoln) zimechangia.
Anja akili zake huwa anazijua mwenyewerip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)
naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.
anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
Clive kwisha habari yake!! ila Kgothalo ana tabia zote za wanawake wasomi waliofanikiwa, yeye anajali tu kuendeleza hadhi yake bila kukubaliana na hali halisi anaona Ntando anamharibia makusudi ili ampiku.rip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)
naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.
anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
ndio ndo shida ya kudate na msomi. humdanganyi kizembe.Clive kwisha habari yake!! ila Kgothalo ana tabia zote za wanawake wasomi waliofanikiwa, yeye anajali tu kuendeleza hadhi yake bila kukubaliana na hali halisi anaona Ntando anamharibia makusudi ili ampiku.
sijajua huko mbele ila naona kg anaanza kumtumia sechaba kama mtu wa kumfariji kwa sasa coz nae sechaba yuko single eti 😎Anja akili zake huwa anazijua mwenyewe
Ina maana kat anaweza kudate na sechaba?
Halafu Anja na wenzie walikuja wamevaa vinguo vya ajabu kabisa(swimming costumes)ilhali wanajua uncle Linc ni mgane!rip seline.
clive uko jail kapangwa na bonge moja la mbavuu duh kama asipodonolewa rinda (joke)
naona kg baada ya kumtema ntando kaanza kujisogeza kwa sechaba.
anja nae anakera asee kanakuja na wenzake kazini kwa mamake tena na wenzake.. inakeraa
mzee aliwachora tu hasa yule wa mwisho ana mzigo wa haja.Halafu Anja na wenzie walikuja wamevaa vinguo vya ajabu kabisa(swimming costumes)ilhali wanajua uncle Linc ni mgane!